Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,470
- 911,172
Ruta Ngoja niwasiliane na wasanii wa Bongo Flavor wakutafute naona hii mistari itaweza kuwatoa!
Ruta mwaka huu! Tutakuandikia biography!
Nilisema nitarudi, ni kweli RutashubanyumaKigarama wakimbilia wapi na ndiyo kumekucha, hivyo?
Ruta siku hizi naona unatoka kishairi zaidi! Kunani nyuma ya hili?
Mimi nafikiri kila mwanamke ana namna yake 'akiwa mbalamwezini'. Wengine wala huwezi jua maana wanabehave normal tu...ikitokea ukaomba mchezo ndio unajua kuwa mambo si shwari siku hiyo!
Rutashubanyuma kwa kweli kama ni kakipaji umekiweza
Hongera sana mkuu kwa haya
yabidi uandike kitabu kusema haya unayoyasema unaweza pata soko sana
Nilisema nitarudi, ni kweli Rutashubanyuma
Muda ulitaradadi, nikashindwa la kusema,
mada hii ya weledi, inahitaji kusoma,
Si kukurupuka.
Nilikwenda jukwaani, kule kwa wanasiasa,
kuna jambo mwiba u ndani, nikashindwa kulisusa,
Wali hawamo mkoleni, kungwi kinywa kimekuwa tasa,
Ngariba nikajitosa!!
Hili ulilouliza, ni makuzi na maumbile pia,
Kama ni mama Aziza, au Jane mtoto wa Rupia,
Nani aliyewakuza, Ipi Staha au kupi kupapia,
Hayo nayo ni makuzi.
Walokuzwa kama mbogo, kila kitu hucharuka,
Kwao hao hakuna dogo, ada yake kulipuka,
Kama humpi kisogo, utateswa kama paka,
Usimsikilize.
Kwa yale maumbile, hayo ni yake manani,
huwa hivi au vile, bila kutoka moyoni,
Hawa hawana kelele, bali huwakuta wasiyodhani,
Msamehe
Ruta kuanzisha mazogo eti kisa tu uko mwezini mi nadhani ni mbwembwe tu za wanawake, kama inavyokuwa wengine wakipata mimba basi ndio hasira na yote yaliyoujaza moyo wake atayatoa kwa kisingizio cha mimba. lakini wala hakuna cha ajabu, sanasana unaweza ukajikuta unaumwaumwa kidogo, hauko kwenye mood na hasahasa ya masuala yanayohusu mapenzi lakini bado sio sababu ya kufanya hayo uliyoorodhesha hapo juu.
Mr Rocky kwani hujui watz wanavyochukia kujisomea...................hawawezi kununua vitabu hata siku moja..........hebu toa mchango kwenye huu uzi kwanza...................................
kwa nini isipumzike? inapumzika sana tu ila si lazima kila siku uisokomeze tu hukooo ! si kila wakati iingie kwenye tunnel, ikae gizani kwenye joto na unyevunyevu matokeo yake inatoka iko choka mbaya huku inatapika!!!! wakati mwingine huwa inaishia kukaa nje kwenye bustani ikapungua upepo na bado ikapata burudani tu!!!! upo kakaaaa!!!!muhanga hivi nayo haipumziki nini?
muhanga nimefanya kautafiti kidogo.....................usifikiri wanpenda kuwa hivyo........................ni swala la kimaumbile na hormonal imbalance............................kwa hiyo hujikuta kama wamepngukiwa kitu fulani na in those days they feel insecure ........na ndiyo maana huhamki sana wakihisi.............all of suddenly they have become weak....................na kuhisi pengine wananyanyapaliwa na hawathaminiwi kwa sababu ambazo zipo nje ya uwezo wao......................kuwaelewa is a step forwward in handling their irritation with dignity............
promiseme......tunachotakiwa kufanya ni kufanya jitihada zote kuelewana sababu za mitafaruku ya namna hii ili kuirekebisha au kuivumilia kama tumeshindwa kuirekebisha..........
gfsonwin...............kupitia haya matenzi ya mahaba tayari umekwisha kuniona.................ukiniona zaidi ya hapo yaani hutayafurahia utafikiri kuna mtu huwa ananiandikia............................yaani hat sielekei vile...........