We do.Where is our CTU? do we have one?
I was born in Tanzania accidentally
Kwa rais asiye DHAIFU hili lisingekuwa tatizo ila kwa rais ambaye mara zote anazidiwa maarifa na kuogopeshwa na watu aliowateua hili ni tatizo kubwa.
Mbona ana kashfa nyingi sana zikiwamo za kuleta sukari nchini na kuficha maghala ya jeshi Lugalo, Makaa ya mawe Kiwira pia huyu ni mhusika na sasa TANESCO.
Huyu bwana ana siri za wizi wanaofanya viongozi na ndio maana ana kiburi sana na inatakiwa watu amkini ndani ya bunge wasikubali Liwalo na Liwe ila Muhongo na Maswi wapewe support ili nchi isiingie gizani huku hawa watuhumiwa wakinyimwa kabisa meno.
Na sisi tunampa Gen Mbona siku tano awe amshajiuzulu mwenyewe kabla JK hajamwajibisha. Huwezi kuwa mwenyekiti wa Bodi ya shirika watu wanaiba tu kili siku, madudu kibao shirika kila siku hasara tu alafu bado unaendelea kung'ang'ania uenyekiti wa badi..Tena anatakiwa ashitakiwe kwa kushindwa kusimamia shirika letu..tunampa siku tano aachie ngazi mwenyewe kabla JK hajaamua kufanya maamuzi magumu on this Friday..:spy:
naona tunatafuta kasheshe na makamanda, kumbukeni mwanajeshi hastaafu
Sasa hivi wenyeviti wameagizwa kukutana kujadili uwezekano wa kuvunja Kamati zote za wenye tuhuma za rushwa juu ya sakata la Tanesco. Aidha ni kweli kuwa kuna taarifa kuwa Mafisadi kwa kushirikiana na Gen. Mboma na Mhando wanataka kwa hali yoyote ndani ya siku tano nchi iwe gizani.
Wahusika wengine katika njama hizi ni Mh. Mkono, Ole Sendeka na Zitto Kabwe. Vyombo vya usalama sasa inabidi viingilie kati maana hatujui kama wanataka kuharibu mitambo au nini kinachopangwa.
Mkuu ngoja ngoja huumiza matumbo, muweke hapa kabla hajatuhujumu huu Retired Gen.MBOMA sio mtanzania iko siku nitamuweka hapa jamvini.
Mboma ana nini na nchi hii? anataka kuiacha nyeupe? pesa alizopata jeshini akishirikiana na Scola mwanadada mfanyabiashara mashuhuri na maafisa wa utawala wake jeshini siku zile hajatosheka tu????????
Mboma, tuachie nchi yetu.
Moony Scola gani huyu mfanyi biashara maarufu?
hawezi lolote huyo, mafisadi wote wameshabainika tanesco.