jamani wadau natumaini nyote ni wazima wa bukheri jamani naombeni msaada wenu wa mtu yoyote anayejua importer wa Mbolea au cement au sukari ambaye anaimport kuanzia tani 10000 na kuendelea kwa mwezi ili kuongea naye biashara atakeyeweza kufanikisha basi tutamfikiria kwa kamishina au kwa mtu anayeweza kunionganisha na serikali kwa ajili ya kusuply kwa bei nzuri nayo itakuwa si mbaya .Asante