Mbioni kutokea....

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
59,188
79,398

Kwa jinsi Bunge letu linavyoendeshwa kibabe i see a scenario of this sort is to happen in the near future! Tumeshuhudia Arusha na kinachofuata ni Dodoma in that high law making chamber that is so abused right now!
 
Last edited by a moderator:
Wala haitashangaza. Kuna kichaa mmoja toka Mtera, mchango wake kwenye hotuba ya rais ulikuwa wa kiwendawazimu. Eti anasema wabunge wafungiwe ndani waanze kuzipiga na kwa kuwa wao ccm ni wengi watashinda. Tunalipa kodi zetu kwa vichaa kama hawa!
 
a fool mp
 
mi ningependa itokee kwenye bunge letu ili heshima ishike mkondo wake
 
mi ningependa itokee kwenye bunge letu ili heshima ishike mkondo wake
Tatizo inajulikana nani atashinda maana wingi wa Chama cha Majambazi uta-overpower People's representative though wana vijana wengii!
 
Tatizo inajulikana nani atashinda maana wingi wa Chama cha Majambazi uta-overpower People's representative though wana vijana wengii!

wingi wao haujalishi.....wenyewe wana vitambi wamenenepeana kwa wizi wa kodi za wananchi...hawawezi hata kurusha ngumi......wamejaa mapresha kibao.....visukari ndo usiseme...wakijaribu kurusha ngumi au teke wanaenda nayo mpaka nchini....kwa hiyo nina imani vijana watawamaliza humo ndani.....amini ninachokwambia
 
sugu naiman ataliwezea punching bag la komba wakt mchungaji msigwa na prof maji marefu
 
Back
Top Bottom