Mbio Za Urais Wa Zanzibar 2010: Kanisa Katoliki Laanza Kumnadi Waziri Khatibu

Wakatoliki iacheni Zanzibar na wazanzibari. kanisa linatakiwa LiwaChadema watu wa Bara.

Si unajuwa tena Pale yupo aliyewahi kuwa Katibu wa TEC.
 
Askofu huyo alisisitiza “Nakuombeni wananchi zingatieni ule msemo wa Kiswahili, Usiache mbachao kwa msala upitao na Zimwi likijualo halikuli likakwisha kwa hivyo wenyewe mna hiari yetu tena hapo”, alisema na kuibua shangwe za wananchi hao.
Joka Kuu,
Hapa wenye kiswahili tumegunduwa nini kinamaanishwa na nini kinaendelea, kama ubunge,ingawa watu wa Uzi wamemchoka Khatib lakini anaweza akapita kwa vitimbi...bila kuhitaji maneno ya Askofu huyo.
 
hata mimi naona askofu kachemsha ni bora angesema imamu wa msikiti ingekuwa afadhali kwa siasa za znz zilivyo askofu asiingie kwani keshamuharibia khatib wazenji walivyo na udini mh sawa tutaona huko mbele
 
Naona Khatib "Msakatonge",kaanza mbio zake kwa mguu wa kushoto..a wrong move...nafikiri padri Malamsha anamfahamu tokea akiwa umoja wa vijana wa CCM, lakin ni Khatib...tunamjuwa zaidi kuliko yy Malamsha...si tu kuanzia umoja wa vijana bali hata namna ya kufika hapo na kupanda ngazi...kama Khatib anatafuta ushawishi wa kanisa kufanikisha malengo yake ya kisiasa, ni wazi kuwa anaielekeza CCM zanzibar...iwapo itamchagua kugombea...kushindwa kwa kishindo hata kama wataiba vipi...kumfananisha Khatib na Nyerere ni hatua ya kwanza ya kanisa katoliki kuelekea ya pili ya kumtangaza kuwa "chaguo la Mungu", sasa tumeona vipi waraka wa kanisa unavyoanza kufanya kazi yake. Ushauri wangu wa bure kwa Khatib "Msaka Tonge", siku zote rais wa zanzibar anatoka BLW...kama anataka historia ibadilike...aache kuendekeza siasa za kubebwa bebwa na SMT kupitia chama chao cha kanisa katoliki...wazanzibari are no longer fools like he thinks they are...
Ndugu....... Yaani kila kitu kinachosemwa na mkatoliki ndiyo msimamo wa kanisa katoliki..??? Hivi huyo padre ndiyo msemaji wa kanisa katoliki.. ??? Inaonyesha hujui kanisa lina utaratibu gani juu ya matamko. KWA HIYO UNATAKA TUAMINI KUWA YULE ALIYEMCHAPA MWINYI KIBAO ALIFANYA VILE KUONYESHA MSIMAMO WA WAISLAMU..???? ACHA HAYO, KWAA NINI KILA POSTI UNAIHUSISHA NA UDINI...????
 
Ni vigumu kutengenisha maneno ya Askofu na Msimamo wa Kanisa..they all go together..."ukweli ni kwamba hawa maaskofu ni wachochezi sana" kwasababu they have nothing to loose hawana hata familia (watoto) "mtu yuko peke yake kama mchawi, wakiwaharibia wanaenda zao vatican "Heaven of wrong doers)....
My take: kashakuwa rais huyo sasa ni nyie kuamua ....
 
Huyu Padri Malamsha huwa anatumwa na nani? Nakumbuka katika uchaguzi wa 2005 aliwahi kutoa hotuba akidai kuwa iwapo CCM itashindwa Zanzibar maisha ya wakristo wa huko yatakuwa hatarini. Akaomba serikali ijitahidi jambo kama hilo (la kushindwa CCM) lisitokee!
Umemsaidia mwenzio hapa chini.
Ndugu....... Yaani kila kitu kinachosemwa na mkatoliki ndiyo msimamo wa kanisa katoliki..??? Hivi huyo padre ndiyo msemaji wa kanisa katoliki.. ??? Inaonyesha hujui kanisa lina utaratibu gani juu ya matamko. KWA HIYO UNATAKA TUAMINI KUWA YULE ALIYEMCHAPA MWINYI KIBAO ALIFANYA VILE KUONYESHA MSIMAMO WA WAISLAMU..???? ACHA HAYO, KWAA NINI KILA POSTI UNAIHUSISHA NA UDINI...????
kondoo siku zote huenda kwa kufuata fimbo ya mchungaji wao.upo!
 
hawa ni mahasimu wa khatib ..wako kazini ...kwenye eneo lenye waislamu asilimia 98%% ,, mtu kukuhusisha na kanisa ....hakutakii mema..hilo gazeti lilotoa habari hiyo litakuwa linatumika kummaliza Ghatib....mtu ukiangalia haraka haraka utafikiri kasifiwa!!!
 
..Askofu Malamsha akijitokeza na kumsifia Maalim Seif Sharrif sidhani kama tutasikia kelele zozote zile.

..kinachoendelea hapa ni siasa tu, ila cha kusikitisha watu wanatumbukiza dini humo.
 
..Askofu Malamsha akijitokeza na kumsifia Maalim Seif Sharrif sidhani kama tutasikia kelele zozote zile.

..kinachoendelea hapa ni siasa tu, ila cha kusikitisha watu wanatumbukiza dini humo.
Amsifie Maalim duh...mbona siku hiyo atakuwa hana uaskofu dogo!..anaposifia anajua it pays in terms of his church mission...in Zanz.
 
Back
Top Bottom