Elections 2010 Mbio za uchaguzi chadema eneo la buyekera bukoba mjini

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
7,903
1,053
DSC_0048.jpg DSC_0045.jpg DSC_0049.jpg

hapa ilikuwa ni katika kampeini ya chadema jimbo la bukoba mjini katika eneo linaitwa buyekera.
Chadema wanakata mbuga...................
 
Duuuh niko mwanza huyu dogo wa chadema ni balaaa yaani maandamano yalikuwa makubwa mnooooo...polisi nimewapongeza kwa kuweka ulinzi makini na wamekuwa very polite kuhandle washabiki wa huyu bwana...Masha kazi anayo haswa
 
attachment.php

Aiseeeeeee unaweza kupata picha? Masha kazi anayo. Mie niliambiwa na dogo mmoja wa Mwanza kwamba jamaa huyo Wenje anakubalika kinoma.
 
Duuuh niko mwanza huyu dogo wa chadema ni balaaa yaani maandamano yalikuwa makubwa mnooooo...polisi nimewapongeza kwa kuweka ulinzi makini na wamekuwa very polite kuhandle washabiki wa huyu bwana...Masha kazi anayo haswa

kigogo dogo huyo wa jimbo gani, maana nataka kuona jiji kama mwanza linakuwa la mfano kuunga mkono mageuzi siyo kungangania cccccmmmmmmmmmmm tu
 
Back
Top Bottom