Mbinu zipi sahihi za kumwomba mpenzi msamaha?

Hakuna njia au mbinu ya kuomba msamaha, maanisha tu unachokisema au kukifanya.Usije mwisho wa siku kuwa ***** kisa msamaha bure.
 
Duuuh sasa hy wangu itabidi niwe na yard ya Magari,maana nina makosa mengi lkn yy ukitua Vx kosa linafutwa hapo x2!
 
Hata punda humjua Bwana wake,mbinu za kumshawishi mwenzako uliyeoana naye wajua mwenyewe halafuawa wenzetu mbona rahic 2 uwe mbunifu mjue mwenzako mshawishi tumia mbinu mbadala, if plan A fail there iz *plan B,C,D............
 
Jamani ee,sio kila mwanamke ni wa kumtolea machozi!Jst b convincn n creatve,sio ulie eti!Wanawake wengi hawajui wanataka nini exactly,ukiwa mtu wa surprise,utakubaliwa msamaha tu.
 
Njia nzuri ya kuomba msamaha ni kupiga game nzuri tu! Nafikiri nimeeleweka.
 
Moja ya advantage ya kumjua vizuri mpenzi wako.... ni kuweza jua jinsi ya kumkosha....

kwamba hata ukimkosea ukiomba namna hii au ile ndio weakness yake, mwingine mpaka

umpigie magoti, mwingine umnunulie gari, mwingine umaanishe tu msamaha e.t.c.
Hahahaha!!! Lol usije ukafanya watu wakitaka kuombwa msamaha wadai magari
 
hapo ni make up sexy tu mwisho wa siku mwanamke anabaki analia af haieleweki bado analilia ugomvi au utamu
 
Only three simple steps;
1. Recognize the mistake you did, and let him/her understand so....
2. Give a realizable promise that you will never repeat the mistake in the future....., and thus you feel pains too....!
3. Show by action that you are ready for any accountability that may brings peace and happiness to him/her....
 
Jamani ee,sio kila mwanamke ni wa kumtolea machozi!Jst b convincn n creatve,sio ulie eti!Wanawake wengi hawajui wanataka nini exactly,ukiwa mtu wa surprise,utakubaliwa msamaha tu.
<br />
<br /
Acha dharau wewe,nani amekwambia wanawake hawajui wanataka nini?
 
Kumbuka mpenzi wako anakujua sana na kama ukiomba msamaha sababu umeshahuriwa na wana JF atajua hauja tokea moyoni. We muombe tu kwa kumaanisha. Mwambie unasikitika na jambo lililo tokea, unajua ni wewe umesababisha na unaapa kujitahidi kwa kadri uwezavyo kuhakikisha haito tokea tena. Kama kweli unamaanisha atajua na atakusamehe.
The worse ni kujaribu kujitetea ili aelewe sababu zilizo kupelekea kufanya hivo. Ukijitetea maana yake utarudi tena.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom