Masikini Jeuri
Member
- Jan 13, 2008
- 37
- 4
Nakumbuka enzi hizo majambazi yalikuwa yanakamatwa na baada ya muda mfupi wanatolewa; wananchi wakachoshwa na hali hiyo wakaamua kujichukulia sheria mkononi kwa kuwachoma moto mara tu wawakamatapo badala ya kuwapeleka kituo cha polisi.
Na juu ya suala kama hili la watu wazito kula pesa na baadaye kulindana nalo litafikia hatua wananchi watachoka na kuamua kuchukua sheria mkononi na kufanya watakavyo, mfano kiongozi yeyote yule anayehusika na ubadhilifu wa pesa za serikali anaweza kujikuta NYUMBA YAKE INACHOMWA MOTO au GARI YAKE INACHOMWA MOTO PIA AU MUHUSIKA MWENYEWE KUTEKWA NYARA NA KUPELEKWA MAFICHONI KWA KIPINDI KISICHOJULIKANA.
SASA IMEFIKIA WAKATI WOTE WANAOKULA PESA ZA SERIKALI, WASIWE NA RAHA NA HIZO PESA KWA KUTANUA ILA WAWE NA MASHAKA NA MAISHA YAO NA FAMILIA ZAO PIA.
NAHISI KUWAWEKA KATIKA MAISHA YASIYO NA RAHA WANAWEZA KUJIFUNZA KIDOGO, NA PIA KAMA KUNA UWAJIBISHWAJI BASI WAWAJIBISHWE.
NAUNGA MKONO NA PIA HATA KAMA IKIWA UNAHITAJIKA MCHANGO WA KUKAMILISHA KAMPENI YA KUUNGUZA MOTO NYUMBA ZA WOOOOOTE WALIOHUSIKA KUCHOTA MAPESA NIKO TAYARI KUTOA MCHANGO WANGU ILI ZOEZI LIFANIKIWE.