Azimio Jipya
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 3,362
- 1,130
Hapo juu nimewakilisha, Mawazo ya watanzania Wawili, Bw jasper na Bw Abel. WANA WITO WA MAADAMANO MAKUBWA TZ NZIMA!
Mimi binafsi sioni tatizo la Maandamano makubwa Tanzania nzima kuonyesha kilio chetu kwa tunachofanyiwa na kundi dogo sana la Watanzania wenzetu ndani ya Taifa letu wenyewe.
Najua maandamano ni kitu kisichokwepeka. Najuadhana ya maadamano iko mioyoni kwa Watanzania wengi sio hao wawili tu, wanaona ndio njia pekee ya ku_express what they think and feel deep in their heart. Maandamono yanaweza yakawa makubwa kama nini!! hata kama Ya mwaka 1967. Hilo linawezekanakabisa.
Swalai la msingi: Chukulia maandamano yamefanyika Tarehe 5 Febuary 2008. Hii ni Tz, surely yatamalizika Salama, tutapumzika na kuyasimulia..jioni nzima baadaye we go to sleep! Tarehe 6. Febuary 2008 itafika. Siku moja baada ya maandamano, How do we proceed from there? Viogozi Ni walewale? Mifumo ni ileile au?
Personaly inanipa shida. Kunawakati nafikiri hivi; kama tunamaanisha kweli..Then mbona jibu liko wazi?. Kuwaondoa viongozi wote mafisadi katika ngazi mbalimbali za kitaifa. Nani haoni hilo ndilo jibu..atlist lorgicaly! But Kesho asubuhi itafika tutatizamana...TUTAWAKUWA TUMEWA_REPLACE WAKINANANI? WATAKUWA GROOMED FROM WHERE AND HOW.....? NAONA DILEMMA TUPU!! Radical changes zinafanyikaje??