Mbinu za kilimo vijijini.

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Kwetu usukumani watu hualikana kwa zamu kulima shamba la kila mmoja.Ili kupeana motisha,watu hupewa pombe na nyama ya kutosha.Kule kwa wakurya watu hupewa nyama choma na BANGI ya kutosha kama motisha.
 
Back
Top Bottom