Mbinu za ki Mafia za Ruge Mutahaba kwenye soko la muziki BONGO

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,645
155,015
Kajamaaa haka bwana, kameweza kumteka raisi na kumtumia kama ngao na silaha yake kwenye kulikamata soko la muziki na burudani.
Je ni nani atakaye mvisha paka kengele ili soko liwe huru, la haki na la ushindani?
Tofauti na sasa ambapo Ruge kwa kutumia radio yake amekuwa akiamua mwanamuziki wa kuwepo sokoni,, bila ya kujali kama ana uwezo ama a.
 
Huyu mtu ni hatari kwa vijana wanaofanya muziki kama ajira
 
hakika huyu jamaaa kaumiza wengi sana na anajifanya mwema mbele ya president lakini jamaa hawatendei hakivijana wakitanzania ambao wanajituma lakini yeye anatumia nafasi yake kuwabana inatia uchungu sanaaaa..........................................!
 
mnalalamika tu badala ya kungalia mfanyeje ili kuwakomboa hao mnodai wananyonywa
 
  • Thanks
Reactions: mja
Mkitaka JUA Ubaya wa Ruge wa ULIZENI Profesor JAY, Lady Jay Dee, AY, Ray C etc..... au Smooth VIBES! THT mhh! kile mnachokiona THT ingewa Mara 3 Zaidi ya Pale kama yangekuwa yanazingatiwa! yani hapo pamoja na longolongo zote ndio unapata vile, Sasa toa Longolongo si ingekuwa balaa! Tafakari.....Chukua hatua.
 
mnalalamika tu badala ya kungalia mfanyeje ili kuwakomboa hao mnodai wananyonywa
<br />
<br />
nakuunga mkono, wabongo kwa kulalamika hatujambo: juilize kunaradio ngapi hapa?, kuna promoters wangapi hapa? Kuna producers wangapi?, kwa nini mnakaria Ruge, Ruge, Ruge?!!!!. Huku ni kutumia Mamasaburi kufikiri.
 
Kajamaaa haka bwana, kameweza kumteka raisi na kumtumia kama ngao na silaha yake kwenye kulikamata soko la muziki na burudani.
Je ni nani atakaye mvisha paka kengele ili soko liwe huru, la haki na la ushindani?
Tofauti na sasa ambapo Ruge kwa kutumia radio yake amekuwa akiamua mwanamuziki wa kuwepo sokoni,, bila ya kujali kama ana uwezo ama a.

Nimeambiwa leo alijiandalia kipindi cha power break fast naona nondo alizo tema Sugu mjengoni zinamuumiza sana mkichwa
 
Nimeambiwa leo alijiandalia kipindi cha power break fast naona nondo alizo tema Sugu mjengoni zinamuumiza sana mkichwa

HAKUNA NONDO zozote1 nimesikiliza Kipindi mwanzo mwisho! anajikanyaga tu. Wamejiandikia Script yeye na Hando wake wanaulizana maswali! full script, Kama yeye anaweza kujibu HOJA za SUGU, Aende Press pale watu wamuulize maswali na atolee maelezo ya HOJA za SUGU! Tafakari..... Chukua hatua.
 
Hicho kiradio kwa sasa ni sehemu ya ccm, hawana hoja hao madogo, nashangaa sana jose kusanga anaipeleka radio kubaya kwa kuwaacha ankina ruge na kibonde kuviponda vyama vya upinzani,
 
HAKUNA NONDO zozote1 nimesikiliza Kipindi mwanzo mwisho! anajikanyaga tu. Wamejiandikia Script yeye na Hando wake wanaulizana maswali! full script, Kama yeye anaweza kujibu HOJA za SUGU, Aende Press pale watu wamuulize maswali na atolee maelezo ya HOJA za SUGU! Tafakari..... Chukua hatua.

Jamaa si analelewa na watu wa magamba kwa hiyo hammfanyi kitu anapeta tu
 
Maisha ni vita! ukishindwa mbinu unatufuta mbinu nyingine na wala usisubiri kuonewa huruma wa kulalamika lalamika tu! maana ukicomplain too much mwisho huwa ni kujivunjia heshima! KUMBUKA VITA HII;
1. UNAPIGANA NA WATU: Kwa maana si kila mmoja atakayetaka kuona unafanikiwa na wakati mwingine inabidi mtu akuaharibie ili yeye apate kufanikiwa.
2. UNAPIGANA NA UMASIKINI: Mbinu, Utekelezaji na Tathimini ndivyo vitakavyosababisha usone mbele na kutoka hapo ulipo.
3. UNAPIGANA NA SHETANI: Kama wewe ni muhumini wa dini yoyote lengo ni kufanikwa kwa kile unachokiomba ingawa humo namo kuna kanuni zake ambazo ukienda kinyume nazo hutafanikiwa!

KAMA HAMUELEWI HAYO NILIYOYASEMA SIKU ZOTE MTABAKI KULALAMIKA TU!

SUGU TAFUTA MBINU, WENZAKO WANATUMIA BONGO KUSONGA MBELE!
 
Hako karedio kanasikilizwa na watu Duni kimawazo kwani ukifatilia kamekaa kiupotoshaji, kimakundi, na watangazaji wanatumiwa tu kutokana na kubebwa kwa kukosa sifa za kitaalum mf kibonde ni form iv div iv ya 32, ss mtu kama huyo kwa nn asiendeshwe kam ling'ombe,
Saa ya ukombozi imewadia kwani siku zote ubaya una mwisho,
.Mheshimiwa Sugu tuko nyuma yako kwani ubaya wa hao watu tunaujua.
 
Back
Top Bottom