Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,319
- 33,125
Ninawapeni faida ya kujitibu maradhi ya kichwa kilichokushika gafla. Na Maradhi ya Stress Shika vidole vyako 2 kidole cha gumba na kidole cha shahada kwenye mkono wako kushoto bana kidogo huku unapiga masaji kwa muda wa nusu dakika utapona inshallah hicho kichwa na Stress zitakuondoka. Angalia mfano wa hiyo Picha hapo chini.Ninawatakieni Afya njema.