Mbinu Mpya ya D. DEALERS

quimby_joey

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
390
164
jamaa wana mbinu zote.jpg

Drug Dealers wamebuni njia mpya baada ya ile ya kutumia miili ya marehemu kupitisha madawa kugundulika, hapa tena watakuja na ipi mpya?huyu ni ajuza wa miaka 89!
 
Huyu atafungwa jela kwa muda gani? Sikuzake zilizobakia duniani hazitoshi adhabu anayostahili....Deni la adhabu yake alinalizie nani?
 
Back
Top Bottom