Mbinu mpya kwa wenye nyumba ndogo

Du kweli wanaume wakware mna mimbinu.
Je utafanyeje siku nyingine ukinogewa hadi kulala huko?
Njia ya muongo ni fupi wahenga walisema.
baada ya kazi za siku nzima, simon akaamua kupitia kwa bi mdogo (nyumba ndogo);

kwa uchovu na aliyoyapata kwa bi dada huyo yalimfanya kusahau kurudi nyumbani kwake........................asubuhi kashtuka katoka, akiw barabarani anawaza....achukue tax, daladala? And aelekee wapi......nyumbani?, mihangaikoni?...............

Ghafla akaona defender (tzr) ya police..........wazo likamjia, akalipiga mkono, bila hiana afande marwa (dereva) akasimama...........akasalimia kwa upole and akawauliza wakubwa mmeshapata chai ( bado) akawaeleza anaomba msaada...................

Mkewe kuona defender inapaki nnje ya mlango wake.....full presha...mumewe kashushwa na mbata matata....................neno la kwanza mumewe kusema ni mama justin tafadhali wape hawa jamaa elfu 30 haraka tafadhani.................mama watoto akakimbia ndani akatoa........................ndio pole mumewake (yeye)................akamwekea maji ya kuoga.............................na akamuadithia alikamatwa uzurulaji akiwa anarudi home!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
dini yangu inaruhusu saba,,,,,,ninamiliki gobole la kuulia tembo sasa jilengeshe uone
mkuu hii sredi haukutakiwa kuifungua wewe. sheria za JF zinasema hauruhusiwi kushiriki two sredz at ze same time. mPM invizibo kuomba razi kabla hajaona hii.
 
mkuu, hashycool yuko na michelle sku hizi, yule mwarabu nilham tunaweza tukalembea ndoana tu. au unasemaje?
Mkuu nilikuaminia sana mbona umenichonganisha na TF ? BACK TO TOPIC; mimi na waarabu hapana mi ni wachagga tu na nimeona upenyo hapa kwa lizzy sichezi mbali lol!
 
Mkuu nilikuaminia sana mbona umenichonganisha na TF ? BACK TO TOPIC; mimi na waarabu hapana mi ni wachagga tu na nimeona upenyo hapa kwa lizzy sichezi mbali lol!
hehe sjakuchonganisha mkuu, nilikuwa naokoa uhai wa jamaa, si unajua sku ile alikuwa ICU sasa ikabidi nisimpe ukweli. angekufa tungeshtakiwa halaf garama za mazishi zingelikuja kwetu. think! uporoto think!
 
hehe sjakuchonganisha mkuu, nilikuwa naokoa uhai wa jamaa, si unajua sku ile alikuwa ICU sasa ikabidi nisimpe ukweli. angekufa tungeshtakiwa halaf garama za mazishi zingelikuja kwetu. think! uporoto think!

kaka saluti kwako yu a truli a greti sinka
 
haya bwana, usanii mwingine ni wa kuchekesha tu watu hapa kuondoa mastress. but omba usikutane na Judith, mie niko level nyingine, sidanganyiki kirahisi hivyo

Ha ha haaa, MJ kwani unafikiri atakujulisha in advance kwamba anataka kukudanganya?
 
hivi bado inatumika mpaka leo hii aliwai tumia dingi yangu mdogo miaka mingi na mm ndio alinifundisha niliaply once tu
 
Ha ha haaa, MJ kwani unafikiri atakujulisha in advance kwamba anataka kukudanganya?

najua kuwa mtu mwongo hatoi taarifa, ila mie siyo type ya kudanganywa na tugari twa maafande, akili yangu ina makali ya kutisha, inakata kuliko wembe, kudanganyika mie sahau!
 
hii niliitimia 2006 nilikutana na mpenzi wangu wa zamani alietoka kusoma majuu sasa katika kupiga stori/laga/kukumbushia ikawa saa 9 usiku nikaona isiwe taabu tukalala hoteli asubuhi nikamshusha kwao nikaenda o/bay police na kumchukua askari rafiki yangu tukaenda home nikashuka na kumwambia mpenzi niliekuwa naishinae kuwa nilikamatwa jana usiku wanahisi gari hili ni la wizi waliniweka ndani nimefata faili la gari wakathibitishe na askari huyu anahakikisha sitoroki.

mh,kweli tembea uone. Jf kuna mengi.
 
Back
Top Bottom