Mbinu mbalimbali za propaganda

Mr.Busta

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
672
99
Ndugu,wanajamii, kwa wale wataalamu wa propaganda naomba kujua mbinu mbalimbali za propaganda?!
 
Kwanza ni lazima ujue aina za propaganda

Kuna propaganda nyeusi

Kuna propaganda za kijivu

kuna white propaganda

Nikipata muda Nitakuja nikuchambulie,unataka za kisiasa au za kidiploamsia as proffession au za Marketing?
 
Nimefurahi sana kusikia hizo aina za propaganda hasa hiyo nyeusi nafikiri hiyo ndiyo ya kifrica
 
Umeuliza mbinu za propaganda na nitakupa moja kubwa kuliko zote..
Kwanza mtambue mpinzani wako vizuri..
Kama yuko juu yako mshushe hadhi yake chini mlingane au awe chini yako akisha fika ndio unaanza mapambano ..
Njia za kumshusha zipo nyingi kutokana na weakness zake au zinazojitokea..
Utauitumia udhaifu hup hata kama haupo au hauonekani kumshusha chin hadi yeye na wanaomtazama waaamini mapungufu hayo,kisha ndio unaanza mapambano.

Usipoweza kumshusha iwe kwa njia za kawaida,vijembe na kadhalika basi jua imekula kwako..Yeye kaweza kukushusha usihamaki subiri wakati mwingine....
 
Dr Mbura,

Thanks,hahahah...umesema hivyo kwa rangi yake au kwa contents za hiyo propaganda?Anyway,wacha nipate muda Dr.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom