mbinu inayosahaulika ya kumpata mume

kwa siku hizi hivi mapenzi baada ya ndoa inawezekana kweli?? wachache sana, mengine yote umeyasema vizuri sana ahsante kwa kutukumbusha
 
Ulichosema ni kweli tupu. Vijana kuharibika ni sababu wazazi hawawapi elimu ya maisha wao wako busy kutafuta pesa eti wanawaandalia maisha. Maisha unaandaa wakati watoto wako wana 90% chance ya kupata ukimwi???. Wazazi tutimize wajibu wetu na si kwa watoto wa kike tu kwani ukimwi hauna cha wa kiume wala wa kike. Mimi ngoja nijisifu wazazi walitulea kwa nidhamu ya hali ya juu na ilipofikia kuolewa sikuwahi kuwazia kuwa kuna kitu kama kudoda; ni kuwa nyumbani wote tulikuwa tunafanya kuchagua tu nani wa kuolewa nae kwani vijana wengi waliona kama sifa kuoa kwenye familia yetu kiasi kuna waliokuwa wanakuja wakati hata hamfahamiani (of course niliolewa na mtu niliyemjua si hao waliokuwa wameibuka from nowhere). Ni bora uwe masikini lakini uwe na watoto wenye nidhamu you will always be proud of them kuliko kufuga wavuta bangi na machangudoa ndani. Alafu unasingizia ni mapenzi ya Mungu wakati hujatimiza wajibu wako kama mzazi.
 
Tumesikia kaka, Mungu atusaidie tusiangukie mikononi mwa wanyanganyi.
 
That is very true pal. Watu tunajisahau na kugubikwa na tamaa za ajabu ajabu, hatimaye tabia zetu zinaharibika!
 
Jamani ndoa haina fomula,unaweza kujitunza weeeeeeeeeeeeeee akaja kweli mtu akakuoa lakini ukapata machungu ya ndoa na ukaijutia hiyo ndoa,ni kumuomba Mungu tu
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom