Mbinu Chafu za CCM Jimbo la Ubungo!

DALA

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
2,210
4,512
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema kwamba CCM wameandaa mikakati michafu kuhakikisha kwamba wanashinda Uchaguzi wa Ubunge jimboni Ubunge kwa gharama zozote. Wamekaa kikao na kukubaliana yafuatayo kuhakikisha mgombea wao anashinda:

1. Kugawa kila mtaa Shilingi za Kitanzania Milioni Moja (TZS 1,000,000/=) ya kuhonga wananchi tarehe 29 na 30 Oktoba, 2010. Tunayo majina ya baadhi ya wasambazaji.

2. Wamepanga kupita na gari Tarehe 30 Oktoba 2010 na pia kutumia Mabalozi kusambaza uvumi kuwa Mnyika ameamua kumwachia Hawa Kiti cha Ubungo.

3. Wamekubaliana watumie polisi kuweka rumande vijana vijiweni mpaka jumatatu kupunguza kura.

4. Mabalozi wameelekezwa watafute watu wawili wa kupiga kura vituo hewa. Tayari CHADEMA imevitambua vituo hewa na kuandika barua ya kuvikataa.

Tutazidi kuwapa taarifa jinsi mambo yanavyoendelea.

HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE!
 
Jamani mimi sina uvumilivu wa kumeza taarifa mbaya namna hii...Iam signing =off, wacha niende kwa mke wangu!
Iam sick and tired!...ccm ni wapumbavu kabisa!
 
Hivi inakuwaje mtu analazimisha kuongoza wakati hatakiwi. hawa watu ni vichaaa. wao uongozi wamefanya ajira badala ya kutumikia watu. so stupid i have never seen.
 
Nina wasiwasi baadhi ya mbinu zitatumika Tanzania nzima hasa kipengele namba 1 na 3.Hii ni CCM bwana hawataki kuachia madaraka bila kumwaga damu.Wanajua John Mnyika ni namba mbaya ikiingia mjengoni patakuwa hapatoshi tafadhali wapiga kura wa Ubungo kazeni buti kijana tunamsubiri kwa hamu kubwa idodomya.
 
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinasema kwamba CCM wameandaa mikakati michafu kuhakikisha kwamba wanashinda Uchaguzi wa Ubunge jimboni Ubunge kwa gharama zozote. Wamekaa kikao na kukubaliana yafuatayo kuhakikisha mgombea wao anashinda:

1. Kugawa kila mtaa Shilingi za Kitanzania Milioni Moja (TZS 1,000,000/=) ya kuhonga wananchi tarehe 29 na 30 Oktoba, 2010. Tunayo majina ya baadhi ya wasambazaji.

2. Wamepanga kupita na gari Tarehe 30 Oktoba 2010 na pia kutumia Mabalozi kusambaza uvumi kuwa Mnyika ameamua kumwachia Hawa Kiti cha Ubungo.

3. Wamekubaliana watumie polisi kuweka rumande vijana vijiweni mpaka jumatatu kupunguza kura.

4. Mabalozi wameelekezwa watafute watu wawili wa kupiga kura vituo hewa. Tayari CHADEMA imevitambua vituo hewa na kuandika barua ya kuvikataa.

Tutazidi kuwapa taarifa jinsi mambo yanavyoendelea.

HAKUNA KULALA MPAKA KIELEWEKE!

Mbona wasiwasi namna hiyo! Hivi Chadema mkishindwa itakuwaje, uzushi uzushi tu. Kama umefikiwa na huyo mtoa rushwa mbona hujisemi? Visingizio tu kila mahali, hii ni hali ya kutapatapa tu. CCM wapo kimya wanajua nini cha kufanya. Kapige kura acha kututisha!
 
jamani tuache kuanza kutoa visingizio kabla ya siku yenyewe. hii inaonyesha udhaifu na kuanza kukubali kushindwa
 
Unayo sema yaweza kuwa kweli au si kweli la msingi kapige kura umchague umpendae,wataiba ngapi bwana?,tukapige tuache visingizio
 
Jamani mimi sina uvumilivu wa kumeza taarifa mbaya namna hii...Iam signing =off, wacha niende kwa mke wangu!
Iam sick and tired!...ccm ni wapumbavu kabisa!

Askari hakuna kusalimu amri adui mwenyewe kaishiwa nguvu tayari. komaa tummalize then ulale na mkeo kwa raha.
 
Ccm genge la majuha fulani hivi linaloshikilia mustakabali wa watu wenye akili zao. Sasa hapa jimboni tutachukua kila tahadhari kuhakikisha hizo mbinu zao za kijuha hasifanyi kazi. Na ole wake kibaraka tutakaemnasa akijaribu kuhujumu matakwa ya wananchi, atajuta kuzaliwa. SLAA FOR PRESIDENT 2010 AND MNYIKA FOR UBUNGO MP.
 
CCM walizoe mteremko. Na watu walijua kuwa ukishakuwa mgombea wa CCM tayari umepita. Sasa watu wameshaamka usingizini. Mwaka huu CCM iweni wapole tu waacheni wananchi wachague viongozi wanaowataka.
 
Mbona wasiwasi namna hiyo! Hivi Chadema mkishindwa itakuwaje, uzushi uzushi tu. Kama umefikiwa na huyo mtoa rushwa mbona hujisemi? Visingizio tu kila mahali, hii ni hali ya kutapatapa tu. CCM wapo kimya wanajua nini cha kufanya. Kapige kura acha kututisha!

Dada unaviranga weye, karibu mwaya..bro hajambo.
 
NAONA tAIFA LINAELEKEA KWENYE UMWAGIKAJI MKUUBWA WA DAMU, KWELI , VIASHIRIA VIPO, ccm inataka watu wafe,
mimi nilionya mapema , Kikwete natilia shaka uwezo wake wa uelewa wa mabo kama kiongozi wa ccm, kweli natilia shaka....!
ifikie mahala kuwa kiongozi wa taifa lazima afya ya akili ipimwe, ameisha ishi miaka 60, haogopi kufa , ila damu itamwagika.
 
Mbona wasiwasi namna hiyo! Hivi Chadema mkishindwa itakuwaje, uzushi uzushi tu. Kama umefikiwa na huyo mtoa rushwa mbona hujisemi? Visingizio tu kila mahali, hii ni hali ya kutapatapa tu. CCM wapo kimya wanajua nini cha kufanya. Kapige kura acha kututisha!

CHADEMA na vyama vingine vitashindwa kwa sababu ya mbinu chafu za CCM sio kwa matakwa ya wananchi... Unataka karne hii watu wakae kimya kwa ushenzi wa CCM? Hatulali,, hatuli,, hatutokaa kimya mpaka kieleweke... Hatuitaki ccm imetuchosha kwa nini mnatulazimisha... ???????
 
Mie ushauri wangu jamani rambeni hizo pesa vijana na kura mpeni MNYIKA. kwani watawasimamia kwnye kisanduku si utakuwa mwenyewe tu. Zirambeni pesa na kisha MUWACHAKACHUE watakuja kuisoma taratiiibu moyoni wakati wa matokeo. Hao mbona malimbukeni watumieni washike adabu zao. Kadi zenu msitoke muende wenyewe kutumbukiza kura kwa MNYIKA. Duuh mbona wanjiroga hao. Ningekuwa mie ningewa...... Sasa hao NDIO MAJUHA WA UKWELI. :A S angry: wajinga ndio waliwao! watafuneni pesa zao na muwashikishe adabu.
 
Hivi inakuwaje mtu analazimisha kuongoza wakati hatakiwi. hawa watu ni vichaaa. wao uongozi wamefanya ajira badala ya kutumikia watu. so stupid i have never seen.

yes so stupid !! kwanini ung'ang'anie ushindi,?? kwanini utuwekee stupid slogan USHINDI NI LAZIMA ? fanya kampeni kistaarabu jamani CCM wananitia kichefuchefu walahi !
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom