Mbinu 10 za kumdhibiti mke/GF jeuri.......(FOR REAL MEN ONLY)

Mimi kweli kama Kumsaidia Mke nitamsaidia, ila si aanze kusema ni Majukumu Yangu... Nitamchukia

ukiona unaanza kuumwa kisukari, shinikizo la damu. ugonjwa wa moyo au kiharusi....................jiulize kama umevinjwa hizi kanuni kumi na utakuta nyingi umezivunja na ndicho kiama chako.................na mke akishazoea vya kunyonga vyakuchinja hataka kusikia vagi lake siyo utani..........[MENTION]@RGforever[/MENTION]
 
mie 9 ndio naisimamia siku zote..

ndechitia.hiyo haitoshi unaishia kupata maksi kumi tu.........................huwezi kumpenda kama wewe amekubeba kwenye mbeleko zake.............acha kuwa kiwavi jeshi beba majukumu yako naye abebe yake............[MENTION]@ndechitia[/MENTION]
 
For real number 1,2,3,na 5 ningefeli kabisa au kufukuzwa ndoani...vingine nasuppot
 
Mosha wa wapi wewe hutaki majukumu? Kama unamuachia mkeo m'bebe majukumu wote kubali kuwa treated equally hehehe!


Mkuu King'asti sio kweli kwamba sipendi majukumu. Pointi yangu ni kwamba, kwa mfumo wa maisha tunayoishi sasa hivi, ni vigumu kutekeleza sehemu kubwa ya ushauri wa mkuu Ruta. Hebu chukulia, mathalan, sasa hivi katika couples nyingi utakuta wote ni waajiriwa. Kila mtu akiamka asubuhi anachakarika kuwahi foleni n.k. Jioni vivyo hivyo. Huo muda wa mkeo kuchemshia maji, kupika na kukuwekea bafuni anautoa wapi? Isitoshe, maisha ya sasa watu wana mashine za kufulia, nyumba ni za kisasa unabonyeza tu kidude unapata maji ya moto. Hilo nalo utataka mkeo akufanyie pia? Mke wangu ana gari yake, na mimi nina ya kwangu, nitamwendesha saa ngapi? haswa ukizingatia hatuelekei direction moja. Mapendekezo mengi kwenye huu ushauri wa mkuu Ruta yamejengwa kwa kuangalia mazingigra ya zamanai ambapo: Ni baba tu aliyekuwa anafanya kazi; ni baba tu ana gari; mama yuko nyumbani saa zote nk. nk. Hali imebadilika kwa kiasi kikubwa.

Mwisho, kwa mahitaji ya maisha ya sasa, kutegemea kila kitu kutoka kwa baba haiwezekani: Watoto wasome Saint nanii; mama aendeshe pajero kipisi; kanyumba ketu walau kafanane kwa mabali na kale ka mh. nanii, na menginyeo.... haiwezekani. Lazima mama nayeye achangie.
 
kwani nisipokufulia nguo hasara ya nani? Nguo chafu si utavaa mwenyewe?


Nisipokupikia njaa si utashinda mwenyewe?

Nisipokuwekea maji ya kuoga hasara ya nani? Si utapata ukurutu wewe mwenyewe?

Kama gari hata mwenyewe si naweza nunua? Upqnde au usilipande si hasara yako mwenyewe?
 
mzee i have noted number 1 and 9..nilijutaa baada ya kujifanya mzungu kuwa napika mpaka nafua nguo..mzee ilikuja nitokea puani..akawa hatandiki hata kitanda asubuhi..anangojea mimi jidume nitandike kitanda..ukawa mtindo wa kuacha yumba chafu..ikaenda uhusiano ukaharibika..never do this..USIPIKE WALA KUFUA NEVER!!!!!!!!
 
Hiyo namba 1 mpaka 4, unahalalisha utumwa na unyanysaji ndani ya ndoa, na namba 6 nayo inatoa maana ya kushirikiana katika nyumba, rekebisha hizo
 
Hata Biblia watu wana tafsiri tofauti; hivyo usishangae jinsi tunavyotofautiana kwenye kuuelewa huu uzi.

tatizo hata hamsomi na mnaposoma hamelewi...................it is sad.....................ukisoma mbinu 5 za mwanzo ni kuhusu majukumu ya mke ambaye hupaswi kumwingilia.........na tano nyingine ni majukumu ya mume ambayo ni kumpenda kumheshimu na kubeba majukumu yako ya kulea familia yako............iko mbaya gani.................ukikataa moja kataa zote khalafu niambie hiyo ni familia au.....................
Kumbe mmoja wao ndo kabisa yeye na mkewe wanafanya kazi kwa zamu; mwingine mkewe alimfanyizia mbaya baada ya kujifanya ana practice hiyo definition.
 
You are too theoretical....maisha ya ndoa hayana formula...vijana wa sasa kila kitu tunafanya literature review....in reality maisha ya ndoa yanategemea zaidi mahusiano yenu na Mungu pia makuzi yenu kama wana ndoa....dereva hafundishwi kuona...mengine yanakaa automatically.
 
Dark City kama humpendi na kumheshimu mkeo basi anza kuchimba kaburi.......................you have few days to live...........ukizama jikoni you also have few days to live...................God did not create you to cook, iron your clothes or even be in-charge of your laundry...................... Dark City
Babu DC!!


mhh mikono ya mwanamke ndo imekaa kupika na kufua?
kuwa realistc kwa maisha ya sasa wote twaenda porini kusaka maua mazuri ssa iweje tena utake mkeo aawe mjakaz?ITAKUWA AUJAMPENDA BALI UMEOA ILI AWE MTUMWA...
 
Last edited by a moderator:
Well, japo baadhi ya kanuni zinaaply lakini kila dawa ina sehemu yake na kila mahusiano yana tofauti zake. Hapo umesema ni mwanamke mkorofi, kwahiyo hilo ni kundi maalum nadhani.
 
Hiyo title tu "Mbinu za kumdhibiti...." nilijua kuwa hapa nitapingana nawe. Kwa nini umdhibiti. Ikiwa unampenda, anakupenda - mnapendana - tena kudhibitiana kuna haja gani?
kijakazi na bili zote nalipa, nina kazi na sijawahi kufilisika na ninakupenda mno....................lol kweli huna shukrani
Kwanza hapa waombe samahani dada wanaosaidia kazi za nyumbani. Hilo jina lilishaacha kutumiak enzi za utumwa

hivi kipipi unakana ya kuwa kiu yako ni mumeo akupende na akujali? Atawezaje kukupenda kama anakutegemea...........??????? Be real............ furaha ya mwanumme ni kujitegemea na mwanaume yeyote anayemtegemea mwanamke hana furaha maishani mwake kwa sababu anapingana na nature aliyopangiwa na Mwenyezi Mungu.........
Napinga hiyo red kwani kwa mawaz yangu ni kuwa "furaha ya ndoa ni kutegemeana". Ahadi zenu zilikuwa "kukaa naye kwa raha na shida, uzima na ugonjwa...mpaka kifo kitakapowatenganisha". Ikiwa mwanamme "must" kutomtegemea mwanamke hata ikiwa wakati wa shida na ugonjwa, hiyo ahadi ingesomeka vyema kama ingekuwa "kukaa naye kwa raha na uzima...mpaka shida na ugonjwa utakapowatenganisha."

.a real man hujiandaa kubeba majukumu yake tangia akiwa mdogo ............@King'asti
Kwenye familia yangu tangu wadogo, wanaume na wanawake tulifunzwa kufanyakzi na kusaidiana katika mtindo wa hukutwanga huli, haikuwekwa kutafuta na kuchanja kuni, kutwanga na kukosha vyombo ni jukumu la msichana. Hata msichana alipoumwa au kutokuwepo, wavulana tuliingia jikoni. Leo niko mkubwa, kamwe sitokka na njaa au kula nje kwa kusubiri mke aje kunipikia.

Aidha, tulipokuwa JKT, wasichana na wavulana tulishirikiana kwa kila kitu, iweje leo nibadilike kwa sababu nimeoa. Kwanza huu msamiati wa kuoa/kuolewa haupo kwangu, ni KUOANA kwa maana ya kukubaliana.

Nambari 9 tayari imeshapata msemaji. Kama ni kweli ulivyoitetea baadaye, isahihshe, ondoa neno hadharani kwani linakupa ruhusa ya kumpiga na kumnyanyasa faraghani.

Mimi wangu nitamsaidia kwa yote uliyosema nisitie mkono. Na hata hilo la ujauzito ambalo kweli ndio nature (mengine yote tunajipangia hakupanga Muumba), akijifungua ninamsaidia malezi ikiwemo kuadilisha mtoto nepi, kufua mikojo na mavi. Kamwe sitomwamsha dada wa kazi amshughulikie mtoto usiku, na mkewangu ndio kabisaaaaa, alishachukua jukumu nilisiloweza kulibeba mimi wakati wa ujauzito, kwa hivyo kumbebesha mengine nikiwa na mikono miwili...hapo nitakubali majirani waseme. I'll do it for the sake of my kids, for the sake of my lifemate.
 
Wana wake wengi wa siku izi ukitumia ivyo vigezo wako belowa 50%
Unakuta mtu kaolewa ata haelewi kwa nini kaolewa kichwani kwake anajua ni FASHION TUU!
 
Dark City kama humpendi na kumheshimu mkeo basi anza kuchimba kaburi.......................you have few days to live...........ukizama jikoni you also have few days to live...................God did not create you to cook, iron your clothes or even be in-charge of your laundry.......................[MENTION]@Dark City[/MENTION]
Babu DC!!

Naomba nikuunge mkono katika kile unachokiongea na kukitetea ijapo panaweza kuzushwa hoja tofauti hapa juu yangu kukuunga ww mkono,ila as long as i m a man,i will marry&i m free on perceptions,i stand on yr side mkuu

Jamani gender dozn't stop one from fulfiln his/her duties,na unapofanya the opposite it's total violation of the values of gender itself coz gender itself respects human culture,sex,values&forth... Basically once you marry me,i automatically become yr father,guardian,troubletaker even your feeder...no one is assigned to this xcpt i,yr man

Like wise,being my wife means to fulfill yr obligations as a woman to your husband...kuna mama m1 pale Udsm japo simkumbuki,i like her points in regard to this issue,naamini most of women tend 2ignore her though she always tells her sexs to behave&respect the hierachy in wherever they get exposed.
 
Back
Top Bottom