Mbinu 10 za kumdhibiti mke/GF jeuri.......(FOR REAL MEN ONLY)

8,9,10 GOOOOD. Zilizobaki zimekaa design ya ''mfumo dume''!

Consultant......usichojua ni kuwa zote ni mfumo dume na ndivyo mapenzi ya Mungu kuwa mwanamke atatawaliwa na mumewe.........................hiyo ni adhabu aliyopewa mama yao Eva....................na wao wakarithi laana tajwa. Hivyo, kuukataa mfumo dume ni kumkataa Mungu ambaye alisema hivi akihoji upumbavu wa mwanadamu................Isaiah 29:16 "...........for shall the thing formed say of whom formed it you have no understanding?"

na Mwenyezi Mungu tayari alikwisha kumlaani mwanamke pale aliposema na ninanukuu:-

Genesis 3:16 ".........your desire shall be for your husband, and he shall rule over you."

mkeo lazima umtawale na dalili za kufanikiwa ni kuwa stay out of domestic chores and do the real man's work.............. Consultant
 
Yummy kazinduka usingizini na kaona bora azingatie kazi za nyumbani na swahiba wake asije kutekwa nyara na wengineo wanaomkodolea macho................[MENTION]@Sashel,
[MENTION 55476]Yummy[/MENTION][/MENTION]

Kazi za nyumbani? Anafanya kazi za kulipwa hela ili apate hela ya watoto ya shule na chakula..lol
 
No.1 na No.2 hizo sheria ni za enzi za mjerumani not now better follow what you deserve from your spouse its the only way to overcome other problems,your wife is not a slave:clap2:
 
Hizi mbinu ni muarobaini wa wake/ma-GF korofi na utawashikisha adabu...............nimeifupisha kutoka kwenye hii makala ya
Don’ts for husbands

1) Usifue nguo zako hata siku moja hakikisha anakufulia kwa mikono yake na hakuna mwanya wa kumwachia mtoto wa kazi. Yeye mwenyewe aliapa atakuhudumia na wala siyo kukasimu madaraka tajwa............

2) Usipike hata siku moja hakikisha ni mikono yake ndiyo inabeba haya majukumu na hakuna fursa ya kukasimu haya majukumu nyeti kabisa..............

3) Maji ya kuoga nalo ni jukumu lake kuyainjika na kukupelekea bafuni kwa mikono yake aache soooooooooooooooo.

4) Asiendeshe gari na wewe ukiwepo.

5)Akuchagulie nguo za kuvaa.

6) Lipa bili zote asilipe bili hata moja.......vijisenti vyake atajua nini ya kuvifanyia ili asije kudhani mpo sawa...

7) Hakikisha una ajira na kamwe usimtegemee kwa lolote lile

8) Usifilisike hata siku moja vinginevyo atakutawala tena kwa masimango kibao.........

9) Usimpige au kumnyanyasa au kumdhalilisha mkeo mbele ya kadamnasi ya watu............mpende kama kiapo chako kilivyokuwa.........

10) Usiwe mtu wa matumizi mabaya ya fedha hasa pati na marafiki na hivyo kumpa picha ya kuwa wewe ni mfujaji

Haya ni masharti ya kukwepa mwanandni wako kufikiri naye ni kidume ndani ya mahusiano yenu..........ukishindwa haya au kama ukijipima ukaona hupati maksi 80 au maswali nane kati ya kumi basi wewe unatawaliwa na mwanamke na mahusiano yenu yapo hatarini kuvunjika au wewe kuwa huna furaha maisha yako yote na utakufa kwa shinikizo la damu na ugonjwa wa moyo...................

amka jikomboe kutoka kwenye utumwa wa mwanamke..............

kweli wanaume wengine wamefilisika Kimawazo/kimtazamo.
Huyo mkeo mmeoana ili mkomoane? kua na hela kuliko mkeo ndio sababu ya kumfanya mtumwa.

mbona hujawasaidia wanaume ambao wana kipato kidogo kuliko wake zao? Kama wake zao ndio wanalipa bili ya maji, luku kusomesha na kadhalika, je wanaume ndio wawe wanapika, kufua nk?

Ishi maisha huru wewe, acha kujitesa. maisha ya ndoa maana yake ni kusaidiana na upendo bila kujali nani ana kipato kikubwa au nani analipa bili.

Nyie ndio mnaofanya ndoa zenu kuvunjika maana mnakaa na wake zenu bila upendo, na baada ya mda wake zenu wakipata wa kuwapa upendo wa kweli mnaishia kushika pembe.
 
Yummy kazinduka usingizini na kaona bora azingatie kazi za nyumbani na swahiba wake asije kutekwa nyara na wengineo wanaomkodolea macho............... Sashel, [MENTION=55476]Yummy

Hahahaaaa umejuaje?!saizi namkorogea uji wa muhogo mume wangu kipenzi
 
Last edited by a moderator:

Hizi mbinu ni muarobaini wa wake/ma-GF korofi na utawashikisha adabu...............nimeifupisha kutoka kwenye hii makala ya
Don’ts for husbands

1) Usifue nguo zako hata siku moja hakikisha anakufulia kwa mikono yake na hakuna mwanya wa kumwachia mtoto wa kazi. Yeye mwenyewe aliapa atakuhudumia na wala siyo kukasimu madaraka tajwa............

This is ridiculous! Katika ndoa wapi mtu anaapa kumtumikia mwenzie, labda kiapo cha kimila (sijui kabila lako ndugu) lkn kwa sisi wa kanisani tunaapa kupendana, kusaidiaana ktk shida na raha na si kutumikiana kwa maana hii!

2) Usipike hata siku moja hakikisha ni mikono yake ndiyo inabeba haya majukumu na hakuna fursa ya kukasimu haya majukumu nyeti kabisa..............
unless uwe umeoa mama wa nyumbani yaani fulllll time housewife, yaani full time hata dukani haendi!

3) Maji ya kuoga nalo ni jukumu lake kuyainjika na kukupelekea bafuni kwa mikono yake aache soooooooooooooooo.
aaahh hii siwezi kucomment kwa kuwa kwangu maji ya bomba full time hakuna kubeba ndoo na heater hakuna kuinjika maji....

4) Asiendeshe gari na wewe ukiwepo.
mmh am just speecheless, gari lenyewe langu mwenyewe nimelinunua kwa pesa zangu halafu aniwekee masharti .... mmh I doubt! by the way, whats the big deal kwa mkeo kuendesha gari???
5)Akuchagulie nguo za kuvaa.
at least this one I can aford..

6) Lipa bili zote asilipe bili hata moja.......vijisenti vyake atajua nini ya kuvifanyia ili asije kudhani mpo sawa...
I though u pay bills 'cause your responsible husband, kumbe ni ili ujikweze mke asione mko sawa???!!!! duh 'cant imagine!

7) Hakikisha una ajira na kamwe usimtegemee kwa lolote lile
uko very negative kwa wanawake! any reason..
8) Usifilisike hata siku moja vinginevyo atakutawala tena kwa masimango kibao.........
nani anataka kufilisika??? kufilisika kunakuja na mambo mengi na huwa hakuna anaepanga ni mambo ya maisha kubadilisha upepo tu
9) Usimpige au kumnyanyasa au kumdhalilisha mkeo mbele ya kadamnasi ya watu............mpende kama kiapo chako kilivyokuwa.........
kwa hiyo ukiwa pembeni ya kadamnasi unaruhusiwa kumnyanyasa!??

10) Usiwe mtu wa matumizi mabaya ya fedha hasa pati na marafiki na hivyo kumpa picha ya kuwa wewe ni mfujaji
eh sikujua kama party na marafiki ni matumizi mabaya ya fedha! kweli watu hutafsiri mambo kwa njia tofauti sana!
Haya ni masharti ya kukwepa mwanandni wako kufikiri naye ni kidume ndani ya mahusiano yenu..........ukishindwa haya au kama ukijipima ukaona hupati maksi 80 au maswali nane kati ya kumi basi wewe unatawaliwa na mwanamke na mahusiano yenu yapo hatarini kuvunjika au wewe kuwa huna furaha maisha yako yote na utakufa kwa shinikizo la damu na ugonjwa wa moyo...................

mh kweli bado elimu ya mfumo dume inahitajika sana maana eeehhh kaazi kweli kwelii!
amka jikomboe kutoka kwenye utumwa wa mwanamke..............
 
Ruta Nakubaliana nawe kwenye 6,7,9 na 10 na sikubaliana kabisa na 1,2 5 na 6
 
nimembamba ba watto anasoma hii thread...ngoja nisubirie actions xake ntajua kadesa humu!
 
Maji ya kuoga nalo ni jukumu lake kuyainjika na kukupelekea bafuni kwa mikono yake aache sooooooooooooooooo

Vipi kama tunaishi katika nyumba ambayo ni self contained, yaani kila kitu ndani. Bafuni kuna bomba la mvua linalotoa maji ya baridi na maji ya moto.
 
Ndugu yangu Ruta hapa umenena vyema, manake Dunia ya leo inaangamia kwa binadamu kukosa maharifa na kukiuka maandiko, kwa mfano imeandikwa kwamba alaaniwe yule avaaye nguo zisizo za jinsia yake, lakini je hili linazingatiwa? si ndio mwanzo wa kila jinsia kukiuka majukumu yake kama vile mume kutaka kulishwa na mkewe na mke ktaka kupikiwa na mumewe?

cha ajabu mwanamke ndio anaambiwa afuate majukumu yake mbona nyie hamjui majukumu yenu! kuwa provider wanaume sku hizi hawajui mke na watoto wanakula wala kuvaa nini halafu unataka mkeo afanye majukumu yake, mkiombwa hela za matumizi mna nuna! halafu mnataka mwanamke ajue majukumu yake wakti wanawake wengi ndio provider siku hizi kwa familia shame on u! be a man first ndio uongee
 
Back
Top Bottom