Mbia civil and building company

NICODE

Member
Jul 18, 2012
68
10
hi ni company ambayo ilifunguliwa na baba yangu ambaye yeye ni marehemu but by the time he passed away ndo nilikuwa najiunga chuo so nikashindwa kuendeleza,company bado ilikuwa inalipiwa so babo ipo active,document zote zipo including certificate of incorporation,leseni ya biashara,tin number and CRB registration certificate,
my father was just a director,my mom ndo mwenye share lakini yeye an uwezo kabisa wa ku run company so plz kama kuna m2 yeyote ambaye anaijaji kuwa mbia espicially tusaidiane kwenye capital tukipata mradi na pia swala zima la kutafuta kazi. all the agreement will be in writting and we can draw our terms!
Nilijaribu kuomba tenda mwaka jana nikashika nafasi ya pili,so i have experience on how to tender!
naitaji hata ushauri tu
0712 965184
 
Back
Top Bottom