Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
Zamani haya maboom tulikuwa tunayaona kwenye mechi tuu huko mbeya but sasa naona yapo tuu mwishoni tutayazoea sasa!
arusha atuyaogopi tena labda risasi za moto...
Zamani haya maboom tulikuwa tunayaona kwenye mechi tuu huko mbeya but sasa naona yapo tuu mwishoni tutayazoea sasa!
arusha tulikuwa tuna msubiri dr dr dr dr dr dr kikwete kachomoa dakika za mwisho..sijui ataogoa arusha mpaka lini..safi sana wana-mbeya tuko pamoja kwenye kutafuta ukombozi zidi ya mafisadi
Kwani Jeshi wao watakuja na kitu gani zaidi dhidi ya wananchi amabacho hawajakitumia bado?Vifaru,AK47'S ama?Huyo Kandoro alifikiri hili jambo litakuwa jepesi kabisa, JWTZ imekuwa vita sasa! Kuna kipindi polisi wanapiga mabomu ya machozi mpaka wanaishiwa inabidi wakaombe JW sijui kama hili hlaitatukia Mbeya.
Angalia siku hizi wamezoea hadi watu wanamchekea polisi mwenye mbwa.Zamani haya maboom tulikuwa tunayaona kwenye mechi tuu huko mbeya but sasa naona yapo tuu mwishoni tutayazoea sasa!
Walipoambiwa nchi haitatawalika hawakuamini.Kikwete is behind all these things.. Nchi imeshamshinda 2015 sijui kama atamaliza.
habari wana JF Kwa sasa nipo uyole hapa nashindwa kwenda mjini kifupi hali toka asubuhi ni mbaya kuliko hata mnavofikiri hadi sasa ni mwendo wa mabomu hakuna kupumzika na raia nao wapo hi hadi sasa kuna mauaji yameshafanyika .
Inasemekana FFU na polisi wameshindwa kazi huko Mbeya na sasa wanaomba msaada wa jeshi,je hii inamaanisha serikali imetangaza vita dhidi ya wananchi?
Wameamuwa,si unaona watoto wako na chupa zao za maji za kuwasaidia dhidi ya mabomu ya machozi?na kina mama pia?Mazoezi wanayo hawa tayari.Shida ya maisha na unyanyasaji havivumiliki bana...Hawa wanataka ukombozi.Its obvious,even a cave man can figure this one out!
Picha ndio mambo yote maana serikali watakataa kuwa hawajawapiga watu risasi hapa wote tunaona