Tango73
JF-Expert Member
- Dec 14, 2008
- 2,128
- 1,225
Nakumbuka mnyakusa wa kwanza kusoma sana alikuwa tukunjoba, yeyey alikpata degree ya sheria.. basi yeyey aliingia na mkwara wa Benzi kuja kijijini. Tangia hapo kila kijana wa kinyakyusa alijituma sana kusoma ili aje awe au kumpita Advocate Tukunjoba. Hapo ni motivation Tosha kujisukuma kusoma. makabila ya wacgagga na wanyakyusa walijua umuhimu wa Elimu tangia zamani sana .
Mbunge wa Kyella mwaka 1967,Mwakitwange , alimbishia sana nyerere kuhusu kuleta siasa za ujamaa tanzania. Na moja ya bisho lake ni kuzolota kwa elimu na watu kuwa mitaani wengi wakiwa hawana kazi. Yaani jamaa aliona mbali sana na yote aliyoyasema tumeyaona kwa macho. Njoo kwa mngoni au mruguru, mpogolo, Mnyamwezi. Au makabila yaliopigana vita vya maji maji, makabila haya nii kinyyume sana ya makabila ya kichagga na kinyakyusa.