Haya majimbo ya chadema vipi tena.
arusha, mwanza, now mbeya...bado dodoma, Dar?
Nasikia kuna gari la halmashauri limechomwa.
ilikua vita ya wamachinga na Polisi, mwishowe imegeuka vita ya Mbeya Nzima.
Gari za Tunduma Dar zimerudi Tunduma No Safari.
Mabomu ya machozi mtindo mmoja.
arusha, mwanza, now mbeya...bado dodoma, Dar?
Tatizo ni kuwa serikali inaendelea kupiga siasa kwenye masuala yasiyohitaji siasa. Hawo machinga wa Mwanjelwa walihitaji kushughuikiwa sehemu ya kufanyia biashara siku nyingi sana.
Lakini wameendelea kuzungushwa mpaka sasa hawamwamini kiongozi yeyote wa serikali. watu wanaposema tatizo la machinga ni kubwa, viongozi wa serikali wanaona kama utani hivi. Ipo siku hawa machinga wakiamua wanaweza kuiangusha serikali
Na rombo wanaoona bora wawe wakenya