Mbeya kwalipuka kwa vurugu

at least we have someone to blame for nt fulfilling our obligations!

Bila shaka hao wamachinga watakuwa wamehamasishwa na chadema kugoma kuhama kwa kuwa sasahivi ndo wahamasishaji wa migomo na maandamano nchini.

Kama huna cha kuongea c ukae kimya u crap!

akili yako imejaa uharo

nadhani akili zako fupi kama sana. Inakuwaje kwa kla kitu kinachotendeka nchini bac cdm is blamed. Waache watu watafute haki yao.

Nyie wote bado watoto wa mama, siku mkiacha ziwa mtakuwa na akili ya kuzungumza na wakubwa. Nimewasamehe bure kwa kuwa hamjui mlitendalo, ila muwe na adabu siku nyingine mnapokuta watu wazima wanazungumza.

Jaribuni kujifunza kwa wakubwa wenzenu kama hawa hapa;

Hujamuelewa Mwita Maranya. muombe radhi.

Na hajamwelewa kabisa... Ngoja nimsaidie kuomba radhi. Mwita wasamehe hao hapo juu nna hakika hawajakuelewa. Wafafanulie wakuelewe tafadhali!

Haya nyie watoto wa mama, msomeni huyu hapa hata sekunde haijakwisha amekwishajileta. Haya ndiyo nilikuwa nayatabiri, sasa nyie bila kutumia vizuri akili zenu mkaanza kupiga makelele kama manchester city!

Our minds are badly crippled in a way that we believe in protest, riot and violence as immediate solutions to our problems. Dissapointedly, CHADEMA has taken our instability for advantage by coaxing the youths into unnecessary demonstations and needless violence.

Machinga wa Uwanja wa Sokoine wanapigana na polisi na mgambo wa City, vita ni vikali wanagoma kuhamishwa.
Source: upendo FM muda huu wanatangaza

Juzi ilikuwa mji wa kaskazini mwa london-Tottenham na jana ilikuwa mji wa kusini mwa london...hii ni kwa UK!
JE? BAADA YA MBEYA PATAFUATA WAPI?

at least we have someone to blame for nt fulfilling our obligations!

Serikali rojorojo ya magamba imekuwa ni serikali ya excuse.

Jana msemaji wa magamba anatoa excuse ya matatizo ya tanzania kwa kuelezea yanayotokea kenya, libya, zimbabwe, malawi na kwingineko huku akijitutumua kwamba nchi hizo haziongozwi na magamba.

Yani kila kitu magamba wanatafuta excuse, ndo maana sasahivi kila tukio ndani ya nchi hii hawashindwi kulihusianisha na ushawishi wa chadema. Hata hivyo huo ni ushahidi tosha kwamba chadema imekubalika na wananchi na inawanyima usingizi magamba na serikali yake rojorojo.

Our minds are badly crippled in a way that we believe in protest, riot and violence as immediate solutions to our problems. Dissapointedly, CHADEMA has taken our instability for advantage by coaxing the youths into unnecessary demonstations and needless violence.

If these demonstrations are meant for their rights and CDM had sensitized people on these rights, it is then logically true that CDM has enlightened people a nice thing that you and people of you kind have been grabbing. It would be absolutely contradictory if you would have commented differently fro what you are. Shame on you Mwita; you seem older in age but childish in mind.

Our minds are badly crippled in a way that we believe in protest, riot and violence as immediate solutions to our problems. Dissapointedly, CHADEMA has taken our instability for advantage by coaxing the youths into unnecessary demonstations and needless violence.

Minds za Watanzania wote ziko cirpplied, hawamjui adui yao ni nani. Adui sio Askari wa jiji yeye ni Agent tu wa a bigger force, yeye ni mganga njaa kama wamachinga na ladba mmachinga kamzidi.

Mara watu wameweka vizuizi barabarani kisa mtu kagongwa dereva aliyegonga sio adui adui ni yule anayechukua faida ya basi hilo ambaye ni mwenye basi anayefanya dereva aendeshe kasi ili faida iwe maradufu.

Daladala inachomwa kisa imemgonga mwendesha pikipiki , watu wa Piki piki wanampiga derveva na kuchoma gari lake, wote aliyegongwa na aliyegonga wanahaingiaka maisha kwa faida ya tajiri wao.

Mtu anakuibia kanokia kako, unapiga kelele mwizi anakamatwa anachomwa moto anakufa, mwizi sio adui yule anaenda kununua nusu dozi ya Panadol ili mwanae asife.

Wadada poa wanashikwa mitani usiku , wanalalalikia askari , wote wako sawa maskini kwa maskini wananyimana riziki.

Adui wetu ni system iliyopo ambapo mtu anaandika barua ya kuomba rushwa CAG anaambiwa achunguze wakati hiyo ni kesi ya PCCB.
Adui yetu ni system inayowabembeleza walioiba hela za epa warudishe na hatawatashitakiwa.
Adui yetu ni system inayoyesema wanaouza madawa ya kulevya wanajulikana halafu hawachukuliwi hatua wakati hilo ni kosa la jinai.
Adui yetu ni system inayoruhusu mtukuiba mbolea na pembejeo za Kilimo

ADUI YETU NI SYSTEM KANDANIMIZI, ILIYOWEKWA NA SERIKALI, SERIKALI INAYOONGOZWA NA CCM.

FULL STOP.

TUANAUANA WENYEWE KWA WENYEWE WAKATI WABAYA WETU WANAKUNYWA MVINYO NA KUOGELEA ILHALI SISI HATUNA MAJI YA KUNYWA NA YA KUOGA

Tusubiri wenye data kamili watujuze. Tusianze kurushiana vinyesi kwa kutumia dhana tuu eenh???????

Our minds are badly crippled in a way that we believe in protest, riot and violence as immediate solutions to our problems. Dissapointedly, CHADEMA has taken our instability for advantage by coaxing the youths into unnecessary demonstations and needless violence.

Hupendi kuangalia tatizo linapoanzia. Hupendi UWEPO wa wenzako ktk dunia hii kwa sababu wewe unashiba. Wewe ni mwoga, unaogopa wenzako nao kupata. Mbinafsi! Tabia ya MAGAMBA!! Hutaki wengine wapate au wajue namna ya kupata (machinga na wanafunzi wa vyuo), kwani watafanana na wewe. Wakilazimisha basi lazima utasema CDM is behind'em! Pole sana ndugu, but the end not far now, bora uhame hii DUNIA!!

Bila shaka hao wamachinga watakuwa wamehamasishwa na chadema kugoma kuhama kwa kuwa sasahivi ndo wahamasishaji wa migomo na maandamano nchini.

We mbona unapenda kuwatafutia wenzio ban?*@/#-!?:mad: zako.

Bila shaka hao wamachinga watakuwa wamehamasishwa na chadema kugoma kuhama kwa kuwa sasahivi ndo wahamasishaji wa migomo na maandamano nchini.

Polisi na Mgambo wamehamasishwa na ccm kwani wao ndio wanaotumia nguvu ya vyombo vya serikali

Jamani hizi fujo mwisho wake lini? Peace please preach peace!

Preach peace! Preach peace! Katika hali ya sasa tz hakuwezi kuwa na peace katikati ya ubadhirifu na wizi wa maliasili na wadogo kukandamizwa (machinga). Nadhani tuzidi kuchangia mawazo nini kifanyike kuondokana na hali hii na siyo tu kuimba "preach peace"!

Back
Top Bottom