Mbeya kunani??

Mvaa Tai

JF-Expert Member
Aug 11, 2009
6,159
4,443
Mbeya ni miongoni mwa mikoa iliyokuwa inatisha katika soka miaka ya nyuma na hivi karibuni, inakuwaje kwasasa Mbeya haina timu inayoshiriki Ligi kuu Tanzania? Ipo wapi kipenzi changu Tukuyu Stars(Bhanyambala)?, wapo wapi Mecco?, Wameishia wapi Tanzania Prisons? inaniuma sana nikikumbuka enzi za Jimy Moledi, Salumu Kusi, Stephen Musa, Asanga Aswile, Mbwana Makata na wengine wengi. Kuna nini sasa hivi Mbeya??????????.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom