Mbengu mbovu ZINASUBIRI KATIBA MPYA!

magemage

New Member
Oct 20, 2012
2
1
naomba dini zitengwe na siasa kiukweli. WAnasiasa wasiruhusiwe kuongoza harambee makanisani au misikitini. wasiruhusiwe kuongea kwenye makongamano ya kidini. wasiwe wachungaji wala mashehe.haya ndio huleta hisia zisitalajiwa. tusiruhusu shehe kuubiri ukristo au mchungaji kuubiri uislamu. zimepandwa mbegu tumeacha zikue ndio tukate mimea. au na hili mpaka katiba mpya. tutenge dini kabisa na selikali na siasa
 
Back
Top Bottom