Mbegu za kiume zina madhara kumezwa?

Mm,hii kali.Katika research zangu niliwahi kupitia taarifa kwamba demons wanapenda kula mbegu za kiume, nikadhani ni habari isiyo na ukweli.Kumbe ni kweli, duh leo nimekumbana nayo live!Sina shaka yeyote kwamba you practise oral sex, and that you are demon possesed.

Nakupa ushauri wa bure.Tafuta kanisa linalomuamini Mungu wa kweli uombewe mapepo yanayokufanya upende oral sex yatakutoka, na utaondokana na tabia hiyo mbaya na ya kishetani.
Habari wanaJF? nitangulize shukran zangu kwa wanajamvi wote kwa michango yenu yenye kuelimisha sana.

Kwangu mimi JF ni zaidi ya darasa tena la bure kbs...

Ok mi naomba kusaidia kujua madhara/na faida atakazopata mtu atakayemeza mbegu za kiume.
 
Achaneni na tabia chafu ya kuiga kila mnachokiona kwenye pornograph bwana. Mtakuja meza mpaka vinyesi nyie.
 
Km afya yako saf hakuna madhara, ni km kumeza makohoz, infact hiyo protein haiweiz kuwa absorved mwilin
Of course atanufaika na protein, na kisayansi protein is absorbed by the body after it has bn brokendown into amino acids. So hakuna protein isoweza kuwa absorbed.
 
Nakushauri kama unataka kumeza shahawa meza tu mambo mengine utayajua mbele ya safari.Mbona unakula kitimoto wakati dini zimekataza.Mbona huu mvivu wakati dini zinatuambia tuwe wachapakazi.Mbona humheshumu mumeo kwa kufanya kazi zoote kama mwanamke na sasa unaomba haki sawa,kinyumbe na dini zinavyohubiri.Mbona una chat JF wakati ni muda wa kazi.
Mkuu nakuunga mkono ni kweli unayoyasema Wanakula Kitomoto itakuwa kumeza mbegu za kiume wanataka kumeza wameze tu, kama wanavyo kula Kitomoto.....
 
Nakushauri kama unataka kumeza shahawa meza tu mambo mengine utayajua mbele ya safari.Mbona unakula kitimoto wakati dini zimekataza.Mbona huu mvivu wakati dini zinatuambia tuwe wachapakazi.Mbona humheshumu mumeo kwa kufanya kazi zoote kama mwanamke na sasa unaomba haki sawa,kinyumbe na dini zinavyohubiri.Mbona una chat JF wakati ni muda wa kazi.

Umejuaje kuwa sifati mafundisho kwa hayo mengine? Nachat JF wakati wa muda wa kazi kwa nani?

Lete maelezo ya ziada kama dini inaruhusu au la, hii ya jumla jumla haiuziki
 
Umejuaje kuwa sifati mafundisho kwa hayo mengine? Nachat JF wakati wa muda wa kazi kwa nani? Lete maelezo ya ziada kama dini inaruhusu au la, hii ya jumla jumla haiuziki
Teacher vipi mbona toka jana umehamishia makazi kwenye topic hii ? mzima lakini ?
 
Khaaaa!,yan nmeshangwa na majibu ya walio wengi...nimeomba kujuzwa kama kuna faida/madhara ya kumeza shahawa nilitarajiwa kupata majibu MADHARA ni a,b,c nk na FAIDA ni a, b, c nk lk mtu anakurupuka dini hainasemaje?,jaman kama ningetaka kujua dini inasemaje c ningepost kule jukwaa la dini?

Kituko eti msiige kila kitu..mmh hvi ndilo jibu hilo kweli?
 
Umejuaje kuwa sifati mafundisho kwa hayo mengine? Nachat JF wakati wa muda wa kazi kwa nani?

Lete maelezo ya ziada kama dini inaruhusu au la, hii ya jumla jumla haiuziki
Mbona unakomaa na dini sana? dini ndio itakayokupeleka mbinguni?

Sijawahi kusikia matangazo ya dini kukataza watu kumeza au manii
 
khaaaa!,yan nmeshangwa na majibu ya walio wengi...nimeomba kujuzwa kama kuna faida/madhara ya kumeza shahawa nilitarajiwa kupata majibu MADHARA ni a,b,c nk na FAIDA ni a,b,c nk lk mtu anakurupuka dini hainasemaje?,jaman kama ningetaka kujua dini inasemaje c ningepost kule jukwaa la dini?. Kituko eti msiige kila kitu..mmh hvi ndilo jibu hilo kweli?.
Hata mimi nimepigwa na butwaa hili ni jukwaa la dini nitegemea kuona chango za kitabibu ya faida na madhara ya kumeza manii na sio chango za kidini
 
teacher vipi mbona toka jana umehamishia makazi kwenye topic hii ? mzima lakini ?

Mzima sana bwana. Usishangae Uporoto nipo katika kujifunza. Unaambia binaadamu tunasoma mpaka siku tunatiwa makaburini, nipo darasani hapa.
 
Mbona unakomaa na dini sana? dini ndio itakayokupeleka mbinguni?

Sijawahi kusikia matangazo ya dini kukataza watu kumeza au manii

Makubwa wengine mnanshangaza sana. Hujawahi kusikia dini ikikataza, well and good, tusubiri mwengine labda kawahi kusikia
 
khaaaa!,yan nmeshangwa na majibu ya walio wengi...nimeomba kujuzwa kama kuna faida/madhara ya kumeza shahawa nilitarajiwa kupata majibu MADHARA ni a,b,c nk na FAIDA ni a,b,c nk lk mtu anakurupuka dini hainasemaje?,jaman kama ningetaka kujua dini inasemaje c ningepost kule jukwaa la dini?. Kituko eti msiige kila kitu..mmh hvi ndilo jibu hilo kweli?.

Hakuna alosema wewe unataka kujua dini inasemaje. Aliyeuliza suala la dini inasemaje ndie anaetaka kujua. Wewe kama jibu unalo mpe kama huna na umekasirika report abuse kwa mod....ahsante
 
Hakuna alosema wewe unataka kujua dini inasemaje. Aliyeuliza suala la dini inasemaje ndie anaetaka kujua. Wewe kama jibu unalo mpe kama huna na umekasirika report abuse kwa mod....ahsante
kwanini asianzishe thread yako huko jukwaa la dini na akauliza hilo swali lake?,anadandia tu
 
Director;labda anataka mimba,lakini mwambie ameze kutumia mdomo wa pale chini[/QUOTE]

Kweli kaka we ni noma kwa sababu kwa hali ya kawaida ukameze zile mbegu za nini. HAYO NI MADHALA ya kuiga kwenye mamovie ya Ex.Aache huo ujinga aishie kunyonya tuu provided mwanamme wake ni msafi kiafya na mwili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom