Mbegu ya ajabu

WomanOfSubstance

JF-Expert Member
May 30, 2008
5,457
956
[h=1]Everyone has Problems[/h]A mother who had lost her only son went to the man of religion in her village and said: "Is there anything you can give me to reduce the pain that I feel?" "Yes," he said. "There is a wonderful thing you can do. I want you to go and get me a mustard seed from a home that has no problems. Such a mustard seed can ward off all problems.

When you find it, bring it to me and I will use it to relieve your pain." So the mother started out and came to a big mansion. Nothing could possibly be wrong here! She knocked on the door, told what she was looking for, and they answered, "You've come to the wrong house." And then they told her all their problems. As she was listening to their problems, she thought, "I know something about problems... Maybe I can help these people with theirs."

So she listened to them; and this helped people. She kept on searching for her magic mustard seed. But no matter where she went, she could not find that seed. Everyone everywhere had some kind of troubles. But she really did find the magic mustard seed, because in trying to help others solve their problems, she forgot all about her own.

Dawa ya matatizo ni nini?
Ukiwa na matatizo ujue hakuna asiyekuwa nayo.
Unapojali matatizo ya wengine, utajikuta ya kwako yanapungua au kupotea katika mawazo yako.

Usichukue njia za mkato kutatua matatizo yako.Usikimbilie kwa waganga kutafuta dawa.Usikimbilie kushinda sehemu za ibada ukidhani utamaliza matatizo yako.

Binadamu kaumbiwa matatizo ili kumjenga na kumuimarisha.Pambana na matatizo yako huku ukiomba Mungu akupe hekima na nguvu kupambana nayo.

kweli ni vizuri kupigana na changamoto hadi kieleweke
 
Matatizo yameumbiwa sisi binadamu,na sio wanyama,
Tunatakiwa kuamin yapo kwa kila mtu na kila mahala,
Cha msingi ni kupambana nayo kwan siku zote tunakumbana na matatizo yaliyo ndani ya uwezo wetu kuyatatua.
 
Napingana na wote wasemao tumeumbiwa matatizo,
matatizo yote uyajuayo, vifo, magonjwa, njaa, nk ni mzao wa anguko la mwanadamu, Mungu haku muumba mwanadamu ateseka,
Cha muhimu, unapokuwa katika matatizo, amini kuwa Mungu yupo na anaweza kukupitisha katika tatizo hilo.
 
Wala hujatofautiana na mie hapo,
Coz ushasema ni anguko la binadamu na ndio maana matatizo yanamkumba binadam,
So matatizo yapo ili yamkumbe binadamu na sio mnyama wala mti,
Na ili ujue ni kwa ajili ya binadamu kila mtu anakumbwa na lililo ndani ya uwezo wake kulitatua,
Kilichopo ni kuomba msaada wa mungu kutuonesha njia na kutupa nguvu na busara katika kuyatatua.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom