Rejao
JF-Expert Member
- May 4, 2010
- 9,220
- 4,056
ni Dadii hiyo!!Huo ni uji au mbege?
ni Dadii hiyo!!Huo ni uji au mbege?
Huo ni uji au mbege?
hahahah mkwe acha kuchafua screen nakuandali visichana viwili lol!!! ile fresh haina msesewi inaitwa kifue nzuri balaa
Hamna cha kudeliver hapa...nakufuata huko huko tunaria wote!! raha ya mbege ni kuinywa pamoja!!
Ukisha tengeneza mbege nzuri nani atakunywa NDOVU?
Wanabodi,
Naitaji msaada wenu jinsi ya kutengeneza Mbege nzuri..
Yoyote mwenye kujua naomba anielekeze jinsi maandalizi yake na vifaa gani vinavyotakiwa.
Nipeni maujanja ya kutengeneza Mbege wana JF.
Ndio njia ya kujua nani MwanaJF ni mchaga?
mbege hebu onja
Lizzy,
Usimfuate EMT na maneno yake!
Dah!!Inawezekana ehhhh?
Kwani Mbege wanaotengeneza Wachaga tu? Mbona hata Musoma, Ngara, wanatengeneza Mbege.
Kongosho, mbona kama Mapuya hayo ndugu yangu.
Wengine tuna skills za kufanya kazi kwenye intelligence agencies lakini hatukubahatika kupata hizo nafasi. LOL.
Kuna kitu kinaitwa "intelligence analysis" na nimeshaona threads nyingi tuu hapa JF zimewekwa kimtindo huo. Intelligence analysis is the process of taking known information about situations and entities of strategic, operational, or tactical importance, characterizing the known, and, with appropriate statements of probability, the future actions in those situations and by those entities. The descriptions are drawn from what may only be available in the form of deliberately deceptive information. The analyst must correlate the similarities among deceptions and extract a common truth.
This practice is commonly found in its purest form inside intelligence agencies. Its methods are also applicable in fields such as business intelligence or competitive intelligence. Sasa unadhani Ritz anafanya au anataka kufungua biashara ya mbege mpaka afanye inteligence analysis?
Unanunua makunduu, unaroweka kwa siku kadhaa kwenye kihondi (3 days), kisha unayapika mpaka yaive kabisa!
na kubadilika rangi kuwa dark brown! Unaacha Makundu yapoe kisha nayo unayaweka kwenye kihondi chake mpaka kesho yake
(1 DAY),
Baada ya hapo unachukua mfuko wa mahindi maarufu kama SAFLET, Unauosha vizuri uhakikishe ni msafi kabisa na haujatoboka mahali, Kifuatacho unajaza yale makunduu kidogo kidogo kwenye ule mfuko wa saflet kisha unaanza kukamua! ili kutenganisha majimaji yanayotoka kwenye makunduu na ile hard material yaani makundu yenyewe(at this stage hatuhitaji ile hard material ila yale maji maji yake tu..yanayoitwa "olea") kwahiyo unaikamua kistadi mpaka iishe na unakuta tayari yameshakaa mkao wa kumixiwa na bidhaa ingine ili upate mbege!
Bidhaa hiyo ni zao la mbege liitwalo unga wa ulezi. Huu unaupika kama uji wa ulezi hivyo hivyo halafu ukishapoa unaenda kuumix kwenye ile "OLEA"..kumbuka ili mbege iwe kali na yenye ladha nzuri mixture yote ifanyike kwenye Kihondi! , ukishamix unaiache ilale usiku kucha kabla ya kuanza kutumiwa, ..Ile waste products inayopatikana baada ya kukamua makunduu usiitupe ni chakula nzuri sana ya Nguruwe.
NB:
1)Makunduu - ni ndizi aina mbalimbali zilizowiva amabazo hutumika kupikia pombe.
zinapatikana sana masoko ya moshi sijui huko dar!
2)Kihondi - Ni chombo maalum cha kuwekea pombe kimetengenezwa na gogo kubwa la mti na kinaweza kuweka litre 80 na kuendelea za pombe.
3)Olea - Ni Juice inayotoka kwenye makunduu kwenye mchakato wa kutengeneza pombe..hii haileweshi!
Utaalamu huu niliuona kwa bibi yangu(R.i.p) kule old Moshi sango karibu na mjororoni!
Unafikiri bei ya alubamu moja na bei ya ndovu kuna tofauti basi? Kule kwetu kuna kitu inaitwa "sharaba" -- bei ya hiyo malighafi hata bia haikuti. Elufu hizo ... mbili!
EMT nimekusoma , nimekupata na nimekubali. Inawezekana ikawa hivyo kweli ila bado najiuliza kama ni kweli na amepata majibu yake then what!!?Utafiti wake unaishia hapa au unafika mbali zaidi? Embu Ritz niambie!!