Mbaya wa kikwete 2005 aliishia wapi?

BADO MMOJA

JF-Expert Member
Jul 19, 2012
2,196
1,338
Wana JF naomba mnifahamishe mnamo mwaka 2005 mjini mwanza kuna bwana mmoja alitaka kumwangusha Mgombea Urais kwa tiketi ya CCM Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete baada ya kufanikiwa kuizuga security system iliyokuwepo pale.Swali langu kwa yeyote anafahamu mtu huyu alishtakiwa Mahakama gani na hatima ya hiyo kesi ilikuwaje.
Nawaslisha
 
Huyo "shujaa"alifungwa na alikuwa gereza la Butimba sasa sijui kama alimaliza kifungo au bado yumo.Ngoja waje wenye current news.
 
Back
Top Bottom