Kama raia wa kawaida, pamoja na wapiga debe mtaani wamemstukia kuwa ni kilaza na anaendesha tabia zisizokubalika na jamii ya Kiafrica, kwanini anadhani anafaa?..Hivi hajistukii kuwa tabia hizo ni chafu?, na still anataka kuwa mbunge:A S-cryAhsante wananchi wa kawe kwa kuchuja pumba na mchele,huyu m/kiti wa nccr hakuwa mwanamageuzi ni mpiga debe wa chama tawala.....peopleeeeeeess p....r!
Ahsante wananchi wa kawe kwa kuchuja pumba na mchele,huyu m/kiti wa nccr hakuwa mwanamageuzi ni mpiga debe wa chama tawala.....peopleeeeeeess p....r!
nccr - nccmhamjui kuwa nccr - mageuzi ni subset ya ccm.