MafiaIsland2015
Member
- Sep 21, 2011
- 20
- 8
Mbaraka Dau ambaye ni msomi na investment banker ataingia ulingoni kuchuana na combination ya Abdulkarim Shah (bulj na Mbunge wa sasa wa Mafiai) + Omari Kimbau (Mtoto wa Kanali Kimbau na mwenye bar ya Mafian) + (yule mama wa UN) +CCM Machinery + CUF ambao wako very strong kisiwani Mafia)
Nampongeza Mbaraka kwa kuonyesha nia lakini je ataweza fitna za CCM na siasa zao za urithi?
Je atawaweza wana Mafia ambao naturally wanajiona ni CUF kuliko CCM?
No wonder bulji kashaanza ku court publicity!
Tusisahau kuwa mbunge wa sasa wa Mafia ni form 2 leaver
Omari Kimbau haijuilikani elimu yake
Yule mama wa UN ana MA
Mbaraka naye ana MBA
I