Mbaraka Dau na ubunge wa Mafia

lalamika

Member
Nov 22, 2011
24
1
Huyu bwana katajwa kwenye thread ya kaka yake kulalamika kuhusu viwanja mafia. sasa sisi wanamafia tunataka kujua kwa nini hajitoketi tukajua moja kama kweli ana nia ya kugopmbea ubunge au la na kama ana nia hiyo mbona anajificha jificha?
 
Hajitokezi wapi?! hapa JF au ?!
 
Hakuna uchaguzi wa ubunge mafia, mbunge aliyekuwepo hajajivua gamba, hajafa na wala hajajiuzuru, sasa ubunge huo ni wa kitu gani?

wenzake akina Omari kimbau washasema wazi wanaingia ulingoni na washaanza kujiweka karibu na watu
 
Aoe kwanza tuone km anafaa.....

"anafaa? Anafaa kivipi? Kwani kipimo cha ubunge ni urijali? Tathmini inaonyesha wabunge wasiooa ama kuolewa ndio wenye mchango mkubwa kwa maendeleo ya nchi hii! Mf, zitto, Mdee, kafulila, Dr slaa etc
 
Huyu mbaraka Dau si ana kasha na fisadi ikbali wa bagdadi?

kesi yao imeshia wapi? kuna mtu alileta kipande cha gazeti kuonyesha aliitwa mahakamani wameshtakiana sijui kimepotelea wapi
 
hakuna futna hapa ni ukweli mtupu

mwanzoni mlimfanyia sana fitna kimbau sasa mmehamia kwa buji

acha kulalamika ww, thibitisha kama Kimbau kafanyiwa fitna na mbaraka, we inaonekana tatizo lako shule hujaenda kama mbunge wako ndo mana akili zenu zimekaa kuwaza fitna.
 
acha kulalamika ww, thibitisha kama Kimbau kafanyiwa fitna na mbaraka, we inaonekana tatizo lako shule hujaenda kama mbunge wako ndo mana akili zenu zimekaa kuwaza fitna.
mbunge ambaye hajaenda shule kaleta maendeleo ya kutisha mafia. uwanja wa ndege, bandari, shule za msingi na sekondari, visima vya maji, hospitali na mengineyo sasa wananchi hawajali kama nyie mmesoma au la watu wanataka maendeleo. sasa huyo mbaraka kaleta maendeleo yepi? kama mbunge wa sasa ataamua kutoendelea bura apewe omari kimbau kwani yuko karibu zaidi na wananchi kuliko nyinyi ambao shughuli yenu kubwa ni kumtukana mbunge wa sasa na kumdhalilisha kila mnapopata nafasi
 
Usimfananishe zitto na hyo mbeba box pia ana mtt nan kakwambia dr slaa hana mke? Labda nae kama mdee asubiri aolewe wamafia waungwana hawaongozwi na FULE!!
 
mbunge ambaye hajaenda shule kaleta maendeleo ya kutisha mafia. uwanja wa ndege, bandari, shule za msingi na sekondari, visima vya maji, hospitali na mengineyo sasa wananchi hawajali kama nyie mmesoma au la watu wanataka maendeleo. sasa huyo mbaraka kaleta maendeleo yepi? kama mbunge wa sasa ataamua kutoendelea bura apewe omari kimbau kwani yuko karibu zaidi na wananchi kuliko nyinyi ambao shughuli yenu kubwa ni kumtukana mbunge wa sasa na kumdhalilisha kila mnapopata nafasi

huoni hata aibu mtu mzima kuongopa namna hiyo,na inadhihirisha kuwa wananchi washamchoka huyo mbunge wako umeanza kumpigia debe mtu mwingine.

"UJINGA HAUNA KWAO"
 
huoni hata aibu mtu mzima kuongopa namna hiyo,na inadhihirisha kuwa wananchi washamchoka huyo mbunge wako umeanza kumpigia debe mtu mwingine.

"UJINGA HAUNA KWAO"

Infact tatizo hapa ni kuwa MBUNGE WA MAFIA kazi zake zote za kiofisi alikuwa anafanyiwa na huyu jamaa....inshort wewe unabishana na mbunge wa mafia by PROXY

mie nishawaambia waende awakushanye watu wa Tanga wenzie, wabulushi na wengineo kisha waje wooote then tuanze kujibizana hoja kwa ushaidi kama atabaki mtu humu

kazi kutoa maneno huku na kupeleka kwingine kwa style ya "MR WHITE"

Dunia ya leo nani atakubali kuongozwa na mbunge standard 7?

Muba ana MBA so its no brainier nani wana Mafia wanaweza kumchagua kuwa mbunge wao.

Lakini pia usisahau kuwa mke wa Mbunge ni ndugu na Rostam na hiyo tuu inakupa picha huyu lalamika analia lia nini

he has more to lose Burji akiondoka than most people

ngoja nicheki file lake Home Office kwanza linasemaje
 
sasa mtu hajagombea ubunge tayari ana kesi ya kifisadi na BAGDADI akipata ubunge itakuwaje?
 
Back
Top Bottom