Mbao za Kuezekea Zinauzwa.

Doltyne

JF-Expert Member
Aug 29, 2011
440
170
Wana JF, Kama mko interested na mbao za kuezekea na zenye ubora zaidi ya cyprus wanazoziita treated, karibuni tufanye biashara.
Ninauza mbao zitokanazo na mti wa mnazi kwa ajili ya kuezekea kwa order (unatoa order na idadi maalumu, tunakwambia utapata lini mzigo. Na tunakuletea mpaka site).
Mnazi unatoa mbao imara sana na ni hard wood kama vile mkongo, mpodo au mninga. Hazihitaji dawa za kukimbiza au kuzuia wadudu na guarantee ni zaidi ya miaka 30 hautosumbuka na paa lako. Kwa uhakika zaidi, ongea na mafundi paa, au muulize fundi wako kabla hujanitafuta.
Bei zinavary kutokana na idadi ya mbao. Mfano 4*2 tunauza 9000, 2*2 tunauza 3000, 8*1 tunauza 9000, hizi zote ni zenye urefu wa futi 12.
Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0714881500

NB: MAUZO NI KWA WATEJA WA DAR TU.
 
Back
Top Bottom