mbaga real estate

C.T.U

JF-Expert Member
Jun 1, 2011
5,070
3,718
wakuu
habari zenu
nafikiria kununua kijinyumba sasa kila nipitapo mjini naona kuna hawa wanaitwa MBAGA REAL ESTATE AGENCY je ni wazuri au matapeli tu wa mjini
mmiliki wake ni nani??

 
Anaitwa Emmanuel Mbaga,sijawahi kusikia akituhumiwa kwa utapeli ila ni vema kufuatilia ujue zaidi kama unawasi wasi
 
wabahiriii haoooo!!!!!!wapareeee! namnaniii, urewedi avae, shigha duuu!!!
 
Emmanuel Mbagga, nimewahi kuongea naye ila simfahamu, katik amazungumzo yake haonekani kama ni tapeli japo kwa ninavyoona matangazo yake nilitegemea ingekuwa Kampuni Kubwa...ila I doubt!
Mtafute kwa email: embaga@yahoo.com
 
Nadhani cha muhimu ni kujua ni vitugani unatakiwa kusaidiwa na Real Estate then unakwenda kwao kuwapa offer yako ila unatakiwa kufahamu ni kwanini unakwenda kwa Real Estate na unategemea huduma gani. Fahamu procedures then nenda wakusaidie, Ukianza kuuliza kama ni real aur feck tutakudanganya. nenda wakupe mfano wa kazi walizo fanya then kama unataka uhakika tafuta hao wateja ongea nao pata uhakika then BOOOMMM u get to know if they are real of not.
 
Back
Top Bottom