Mbadala wa "Viagra" ni juisi ya kokomanga

[h=2]Efficacy and safety of pomegranate juice on improvement of erectile dysfunction in male patients with mild to moderate erectile dysfunction: a randomized, placebo-controlled, double-blind, crossover study[/h]C P Forest[SUP]1[/SUP], H Padma-Nathan[SUP]1[/SUP] and H R Liker[SUP]2[/SUP]

  1. [SUP]1[/SUP]The Male Clinic, Beverly Hills, CA, USA
  2. [SUP]2[/SUP]David Geffen School of Medicine at University of California, Los Angeles, CA, USA
Correspondence: Dr CP Forest, The Male Clinic, 9100 Wilshire Blvd., Suit 350, East Tower, Beverly Hills, CA 90212, USA. E-mail: cforest@usc.edu
Received 15 November 2006; Revised 25 April 2007; Accepted 26 April 2007; Published online 14 June 2007.

Top of page[h=3]Abstract[/h]This randomized-controlled trial examined the efficacy of wonderful variety pomegranate juice versus placebo in improving erections in 53 completed subjects with mild to moderate erectile dysfunction. The crossover design consisted of two 4-week treatment periods separated by a 2-week washout. Efficacy was assessed using International Index of Erectile Function (IIEF) and Global Assessment Questionnaires (GAQ). Of the 42 subjects who demonstrated improvement in GAQ scores after beverage consumption, 25 reported improvement after drinking pomegranate juice. Further, 17 subjects showed preference of one beverage to the other. Subjects were more likely to have improved scores when pomegranate juice was consumed (P=0.058). Although overall statistical significance was not achieved, this pilot study suggests the possibility that larger cohorts and longer treatment periods may achieve statistical significance.
[h=4]Keywords:[/h]erectile dysfunction, pomegranate juice, antioxidants, endothelial function, nitric oxide
 
yapo kibao labda kama wa kishumundu kisha umekulia..... ROMBO yapo na climate yake ni sawa na ya kishumundu. Askari mwenye SMG hajambo
 
Ruta nilipanda kwa ajili ya watu wenye pressure kumbe hata kwa hili daah ngoja niliongeze mboleo
 
Mmmmmmmh! Ruta ya kweli haya??? Ngoja nisome baraza la 'Wauwa siri' nitarudi si kitambo kidogo.
 
Kuna mabinti huwa wanafanyiwa mambo na wazazi wao ili wasifanye ngono, mwanaume akiwa nje rungu linasimama lkn akishaingia chumbani na binti halisimami hata kidogo. Sasa haya makomamanga ndio tulikuwa tukiyatumia kuyeyusha lile ndumba. Kuna binti alikuwa na mtindo wa kuchezea watu akili na wengi waliaibika na kuonekana mahanisi.

Kuna siku nilipata hii mbinu kutoka kwa mzee fulani hivi wa mtaani, nilipoingia eneo la tukio nilifuata taratibu kwa kuyabumba yale matetere.. Nilimuharibu usichana yule binti na hakuamini mpaka kesho niliwezaje kuondoa ile kinga.
 
@ummu kulthum Rutashubanyuma

Kitu usichokijua kuhusu ‘juisi ya boksi'


article-0-12E8974B000005DC-835_468x500.jpg

Boost: Pomegranate juice has surprising attributes


BILA shaka unapoingia dukani au supermarket kununua juisi ya box, huwa unaamini kuwa iliyoandikwa ‘100% Puer Juice' huwa ni halisi na ndiyo bora. Kwa kukuongezea imani zaidi, watengenezaji wameweka na neno ‘No Sugar Added' au ‘No preservatives' (haikuongezwa sukari wala dawa)!

Kuanzia leo elewa kwamba hayo ni maneno ya kibiashara tu, ukweli hauko hivyo! Umewahi kujiuliza kwa nini maboksi yote ya juisi hiyo yawe na ladha moja tu. Sote tunajua kwamba, kama ni juisi ya machungwa kwa mfano, ukila machungwa matano, yote hayawezi kuwa na ladha moja!


Lakini kwa juisi za maboksi imewezekana kuwa na ladha moja kwa sababu za kikemia zinazofanywa kiwandani wakati wa kuhifadhi juisi hiyo ambayo huweza kukaa kwa muda mrefu bila kuharibika. Hivyo siyo kweli kwamba unachokunywa ni asilimia 100 ‘pure'.

NINI KINACHOTOKEA?
Ni kweli kwamba ‘100% pure juice' hutokana na matunda halisi kama vile machungwa, mananasi, embe, n.k, lakini mchakato wake wa kukamua, kuhifadhi na hatimaye kumfikishia mlaji ndiyo wenye dosari za kiafya.

Kinachofanyika baada ya tunda kukamuliwa ni kuhifadhi juisi yake kwenye matanki maalumu makubwa ya viwandani. Ili juisi hiyo iweze kukaa kwa muda mrefu bila kuharibika, wanalazimika kuondoa hewa yake asilia ya oksijeni (mchakato unajulikana kitaalamu kama ‘deaeration'), kitendo ambacho huifanya juisi hiyo kupoteza ladha yake ya asili.

NINI HUFANYIKA KUREJESHA LADHA YA MATUNDA?
Kwa mujibu wa mtandao wa ‘Food Renegade' wa nchini Marekani unaojishughulisha na masuala ya lishe na kuhimiza ulaji wa vyakula asilia, makampuni yanayozalisha juisi hukodisha makampuni yenye ujuzi wa kutengeneza ladha mbalimbali za matunda na manukato.

Makampuni hayo husimamia utengenezaji wa maboksi ya kuhifadhia juisi ambayo huwekwa ladha na harufu ya matunda husika. Inaelezwa zaidi kuwa makampuni hayo ndiyo yanayotengeneza pia manukato (perfumes) maarufu duniani, kama vile Dior na Calvin Klein.

Lakini cha kushangaza, virutubisho vinavyotumika kutengenezea ladha hiyo bandia haviorodheshwi kwenye boksi na wenyewe wanajitetea kwa kusema kuwa ladha hiyo haiwezi kuorodheshwa kama sehemu ya ‘ingredients' kwa sababu hutengenezwa kutokana na tunda lenyewe, ingawa wataalamu wengine wanadai utengenezaji wake huhusisha kemikali zingine ambazo siyo za asili.

Mtaalamu mwingine kutoka Taasisi ya Sera ya Kilimo na Biashara nchini Marekani, Bi. Alissa Hamilton J. D (PhD), ameelezea kwa undani jinsi juisi ya machungwa inavyotengenezwa kiwandani. Undani huo umo kwenye kitabu chake cha; ‘Squeezed: What You Don't Know About Orange Juice'. (Kitu usichokijua kuhusu juisi ya machungwa).

Katika kitabu hicho, mwanadada huyo anasema kuwa ni muhimu kila binadamu kujua kwa undani jinsi chakula chake kinavyoandaliwa, kwa sababu maelezo au lebo inayowekwa kwenye boksi, siyo tu haisemi ukweli, bali pia hailezi ukweli wote.

Anasema kwamba, kama kweli ‘pure orange juice' tunayokunywa ilipatikana baada ya kukamuliwa chungwa peke yake na kuwekwa kwenye boksi, basi bila shaka ladha ingekuwa tofauti kati ya boksi moja na lingine, kwa sababu chungwa moja linatofautiana ladha na chungwa lingine. – mengine matamu, mengine makali.

Mbali na hilo, kila kampuni inayotengeneza juisi ya machungwa ina ladha yake. Juisi ya machungwa inayotengenezwa na kampuni ya Tropicana ina ladha tofauti na juisi ya machungwa inayotengenezwa na kampuni ya Ceres, sababu ya tofauti hiyo inaacha maswali mengi zaidi kuliko majibu.

Chanzo
https://www.jamiiforums.com/jf-doctor/254939-kitu-usichokijua-kuhusu-%91juisi-ya-boksi%92.html
 
If you believe a swig of pomegranate juice boosts your love life, then possibly the placebo effect will help, but you will be just as successful if you eat five portions of fruit and veg a day.
 
Wewe ni fundi, sulutani Ruta asante kwa ufunuo. Hii kitu muwafaka. Juice hii hua naipita napoingia sokoni. alas! Ndio maana Chupa lake limekaa kimchomo. ila ina bei. nafikiri karibia $3+ lakini haidhuru, kama ndio. Sidhani kama huyu Pom (owner) anaelewa hizi faida, kwani itamsaidia kwenye marketing.
 
yarabi, toba!! kumbe wagonjwa mko wengi hivi? ngoja nianze kutembea majumbani mwenu kutoa msaada kwa wake zenu
 
'Viagra effect' from a daily glass of pomegranate juice

article-0-12E8974B000005DC-835_468x500.jpg

Boost: Pomegranate juice has surprising attributes


144-Viagra-effect-from-daily-glass-of-pomegranate.jpg



kaa mbali na viagra tumia hii juisi na mambo yatakuwa shwari ndani ya wiki mbili.pata glass yako moja kila siku angalau wewe na mwandani wako khalafu msisahau kunitonya maendeleo ndani ya takribani wiki mbili


article-2139292-12E996F7000005DC-801_233x323.jpg
article-2139292-0CFDEE2100000578-988_468x329.jpg


halafu baada ya hii kuna ile
Penis enlargement sijui kama tutapona karne hii...


220px-Gray1154.png

Penile enlargement procedures are designed to increase the size of the cavernous cylinders of the penis or to stimulate blood flow to increase hardness.
samahan unaweza kufafanua vizur kwenye kuandaa hiyo juisi unaposema unamenya maganda kias na mengine unaacha unamaanisha Nina acha upande au inakuwaje kuwaje yaan
 
Back
Top Bottom