Mbadala wa "Viagra" ni juisi ya kokomanga

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,172
'Viagra effect' from a daily glass of pomegranate juice

article-0-12E8974B000005DC-835_468x500.jpg

Boost: Pomegranate juice has surprising attributes


144-Viagra-effect-from-daily-glass-of-pomegranate.jpg



kaa mbali na viagra tumia hii juisi na mambo yatakuwa shwari ndani ya wiki mbili.pata glass yako moja kila siku angalau wewe na mwandani wako khalafu msisahau kunitonya maendeleo ndani ya takribani wiki mbili


article-2139292-12E996F7000005DC-801_233x323.jpg
article-2139292-0CFDEE2100000578-988_468x329.jpg


halafu baada ya hii kuna ile
Penis enlargement sijui kama tutapona karne hii...


220px-Gray1154.png

Penile enlargement procedures are designed to increase the size of the cavernous cylinders of the penis or to stimulate blood flow to increase hardness.
 
Haya matunda mie ni mpenzi sana na kwa kuwa huwa yanakuwa kwa msimu, basi yakishaanza huwa kuna wachuuzi wachache sana wanayaleta hapa SIKONGE na hapo inakuwa hela yako.

Kwa kuwa hayazalishwi hapa, bei yake huwa kubwa kidogo kwa mshahara wa mfanyakazi na hivyo huwa ninayala kwa nadra sana. Ngoja nikifika Dar ntayatafuta kwa udi na uvumba ili niyafaidi. Sintatafuta juice maana ni upuuzi tu kunywa mi-chemical ya KEREGE wa TBS.

Kama unaangalia film na miguuni umejizungushia taulo, ni poa sana mbadala wa POPCORN maana unanyofoa kimoja kimoja na kunywa maji yake taratibu huku ukiangalia Prison Break.
Bila kuangalia kama ni Viagra Pori au Viagra Shamba, ni matunda mazuri sana na nayapenda kama yalivyo. Juice zake wanakamua na maganda yake na hivyo huwa zinakuwa kama uchungu uchungu kwa mbali.
AboutPOM.jpg
 
Ngoja nijaribu. Mti huu nimeupanda nyuma ya nyumba yangu na matunda yanaoza na kuanguka yenyewe!

Sometimes itabidi upande mengi sana kwa sababu kila siku angalau upate glasi moja kwa nguvu yako........[MENTION]@Sometimes[/MENTION]
 
Tangu kuupanda mpaka kuanza kuzaa unachukua muda gani?
Hii itanipa muda wa kupanda na huku ninatafuta kimwana - lol.

Mammamia kimbia sokoni sasa hivi ukanunue tunda ulitafune leo hii au nenda kwenye supermarket ukalinunue chupa kubwa........anza kuijenga afya yako mapema sana......[MENTION]@mammamia[/MENTION]
 
Usinisahau katika Ufalme wako nayataka yakiwa origino Sikonge

Naona Firstlady1 hutaki utani na kuilinda afya yako khalafu yanasaidia hata kuamsha uwezo wa kutunza kumbukumbu kichwani na utakuwa husahausahau hovyo.....................hii ni tamu kwa wale ambao baada ya mechi hujikuta kasahau kufuli kitandani na kuishia khalafu akifika aendako anakumbuka kamwachie yule paka shume kikombe cha marudiano..............................lol.................[MENTION]@FirstLady1[/MENTION]
 
Back
Top Bottom