Mbadala wa Google Adsense

AKILI TATU

JF-Expert Member
Feb 10, 2016
2,658
2,804
Wakuu wa jukwaa la manufaa habari zenu,naomba kujuzwa kama kuna mbadala wa kuchuma mapato online kupitia internet zaidi ya Google Adsens na ni namna gani ya kujiunga na ni vipi unanufaika nayo,natanguliza shukrani kwa watakonisaidia kulijua hili
 
Jaribu Propeller Ads. Ila hailipi kwa clicks,inalipa kwa Impression(CPM) tu

Kama traffic yako ni ya wabongo hii makitu itakuwa ngumu sana kwako

Hii ngoma inafaa kwa wale wenye traffic ya US,CANADA,UK na EU
 
mkuu hii kitu nimejaribu kujiunga mbona ka,a inanirocha rocha,.nimeingiza url yangu inakataa kusoma tatizo nini hapo?
 
Back
Top Bottom