MB Zitto Kabwe na ripoti 2 za uchungu kwa sisi Watanzania!

kimsingi hoja iliyoko mezani sio mh zitto na uaminifu wake ila ni ripoti ya, UKWEPAJI KODI MAUZO YA ZAIN/AIRTEL, MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA YA MAWAZIRI MWANGUNGA/MAIGEKUIINGIZA HASARA W.MALIASILI YA BIL 19! HIVYO, NINI TAMKO AU HATUA AMBAZO TRA WAMECHUKUA KTK KUPATA KODI YETU STAHILI TOKA KTK MAUZO YA ZAIN? IKIZINGATIWA NA UHUSIKA WA JK KTK KUZINDUA AIRTEL ISIJE IKALETA PICHA MBAYA KWA SERIKALI nawakilisha
 
We acha janja yako tunajua wewe ni Zitto mwenyewe umejipa id za kutosha hapa JF,unajua tunakusoma nyendo zako kuwa makini.
Tangu ulipoanza kuisema Airtel mbona hujatoa hoja Bungeni!tunajua walikuonga.swala la TaNaPa kwani wewe si ndiye ulikuwa mwenyekiti wa mashirika hukuliona,au unafikiri walipokuwa wanakuonga mamilioni na kukatiwa ticketi za ndege kwenda Ujerumani eti shule hatukujua.umeongwa mamilioni mangapi kupindisha taarifa!tunakujua bwana wadanganye wengine.hoja ni za msingi lakini hauna uchungu na nchi yako you are after money and leadership ndiyo maana JK anakutumia kama dampo. walikuonga ngapi ukanyamaza ume


kaka zitto hawa ni UVCCM usipoteze muda wako kujibu hoja zenye chuki binafsi. Najua tatizo lako zitto ni baadhi ya misimamo yako tata lkn, kazi yako naikubali. kuwa mwangalifu sana na propaganda chafu lengo lao ni kuibomoa chadema. fanya kazi yako onesha tofauti yako na mrema na cheyo. hapa umeibeba chadema kaka tunakuunga mkono hii ni kamati yetu
 
Sina hukika kama unamjua Zitto ni mtu wa namna gani,ninaamini nachokisema,nakubaliana na wewe pia kuwa mtu akifanya vema tumuunge mkono,zitto najua unafatilia mjadala hakikisha hoja hizi unazifanyia kazi vinginevyo zitakugeuka mwenyewe.

Nimekupata Kagemro, namfahamu Zitto,pamoja na kuwa mtu mwenye utata, lakini his strong suit ni kuwa kiongozi muwajibikaji na ni mzalendo.nashukuru kwa kuniunga mkono na kwa rai uliyotoa kwa Zitto, amepata ujumbe coz nimemuona akibrouse hii thread!pamoja!
 
Back
Top Bottom