MB wa Shinyanga Mjini aenda Gabon kulinda kura!

EasyFit

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
1,269
1,082
Mbunge wa Shinyanga Mjini Mh. Stephen Masele aliyeshinda kwa kura moja anaongoza ujumbe wa CCM kwenda kuangalia na kulinda haki kwenye uchaguzi wa Gabon unaotarajiwa kufanyika kesho.
 
Hawaoni aibu kumjumuisha mbunge aliepita kwa mizengwe ambayo imevunja record??hadi leo msimamizi wa uchaguzi hajulikani alipo mara tu baada kudanganya umma na kutangaza matokeo ya uongo!!ataweza kusimamia haki huyu kweli??sidhani na haitawezekana mwizi na mwenye dhana dhaifu na potofu dhidi ya upinzani...atashabikia chama tawala tu kishinde!!hawajui hata nini maana demokrasia ya vyama vingi
 
Hivi mnaojua uhusiano wa Kikwete na Mh. Masele wekeni wazi jamii ijue! Je, uhusiano wao ni kwa maslai ya nani? Sio hivi hivi tu kuna kitu hapo.
 
Hivi mnaojua uhusiano wa Kikwete na Mh. Masele wekeni wazi jamii ijue! Je, uhusiano wao ni kwa maslai ya nani? Sio hivi hivi tu kuna kitu hapo.

Swali zuri sana wana shy watujuze,maana nilikuwepo kwenye msiba wa Masele aliyegombea ubunge kupitia cdm nakushindwa kwa kura 1,ulikuwa na vazi au kitu chochote rangi ya kijani unapigwa ukweli hali ilikuwa tete sana japo
hamna medias zilizo ripoti kwa kina
 
Mwizi kusimamia mwizi asiibe? Masele hakushinda na wala sio mbunge wa shy ni mbunge wa dar na dodoma. Hana wa kumuongoza. Anapataga taabu sana akija jimbon, anazomewa na kubezwa wazi wazi.
 
Back
Top Bottom