Mazungumzo na Dr. Slaa: Maswali na Majibu

Status
Not open for further replies.
Really? You are waiting for Kamati Kuu to sit so as you can come up with the solution to fix Umeme? and you have convinced yourself to be worthy of presidency? Read here Politics, Society & Things: Politics and Power Cuts in Tanzania au get your copy of Sunday Citizen today to get some ideas. Halafu unasema eti siwezi kujibu kwa kirefu kwa sababu huna chaja ya laptop. SMH. Look, we know serikali has been incapable of fixing umeme, now you offer the solutions--sio kwenda kuandamana with no alternative plans.

Mgao umekuwa mkali because the economy and hence the demand have grown, without any proper plans to invest in stima. Obviously during Mwinyi and Nyerere time kulikuwa hakuna mgawo because wenye haja ya umeme mlilkuwa wachache. In a way hata wewe ungekuwa President leo, you were gonna face the mgao, not as your fault but the result of hao waliokutangulia. Now, we need to go past that BS and move forward.

Anyways, and Freeman Mbowe. He is cunning. And most of us are afraid of your party because of him. Amekaa kibiashara zaidi. The only successful thing I can associate with him is Billz. And thats because tunapata dada poa wa bei nzuri.

Goodluck with your endeavours.
Kijana,
Umekurupuka. Daktari wa kweli kasema anasubiri mkutano wa kamati kuu ambao ndio utakaojadilia/kupanga/kutoa msimamo wa Chadema kuhusu Symbioni na haya madudu mengine yanayoendelezwa na serikali ya CCM katika suala hili la umeme. Pia itakuwa vizuri kama utauelezea umma kulikuwa na watumiaji wangapi wa umeme enzi za Nyerere na Mwinyi na wameongezeka kwa kiasi gani enzi za Mkapa na Kikwete ili tuweke mambo katika perspective
 
FJM,
Thanks. Very serious concern. Ni dhahiri kwa hali tuliyonayo uchumi utadidimia zaidi.
i) Sina hakika kama nitamaliza sentensi kwa kuwa niko kwenye reserve charge na sina umeme nilipo, kiashiria cha dhahiri. Mgawo umekuwa mkali kuliko wakati wowote katika historia ya Tanzania. ii) Serikali imeonyesha udhaifu, kushughulikia kuliko wakati wowote ule iii) Serikali imekuwa ikitoa kauli tata, za udanganyifu na upotoshaji iv) Serikali/Tanesco imeingia kwenye mkataba kinyume na amri ya mahakama na hivyo kuzua utata zaidi kuhusu nia na malengo ya mkataba na Symbion na hakuna uwazi katika mchakato wa kuingia mkataba huo.
Chadema, tutakuwa na Kamati Kuu hivi karibuni, itakayofuatiliwa na Operation Sangara Dodoma, Singida, na Morogoro. Tutatoa kauli ya Chama kufuatia Kikao cha Kamati Kuu, ikiwa ni pamoja hatua mahususi za kuishinikiza Serikali.

Frankly speaking, I like the way you answer issues. Acha waendelee kukujenga na kuijenga CHADEMA
 
Dr. Slaa nashukuru kwa kuwepo hapa na naomba unijibu na mimi au uniahidi kulifanyia kazi hili langu

Mimi ni mkazi wa Mwanza na mmoja kati ya supporters wenu wengi. Tumewaweka Chadema madarakani lakini sasa tunahofia viongozi wetu wanatuangusha sana.Mji wa Mwanza sasa umekuwa mchafu,barabara za mitaa ziko hovyo,vibanda vya biashara kila kona ya mtaa/barabara,kwa kifupi instead of Mwanza becoming better its becoming worse.......kweli inakera.Kindly talk to that Mayor Manyerere na madiwani wenu. Walipata support kubwa sana kutoka kwa wananchi na wanauwezo wa kuwashirirkisha hao hao wananchi katika kuleta mabadiliko,but they are not doing it. Hii inatutatiza sana na its alarming.Hatutaki jiji la Mwanza lirudi kwa mafisadi so please do something.

Nawasilisha.

Unawezaje kusema Mwanza ni chafu wakati juzi limekuwa jiji la kwanza kwa usafi Tanzania. Unless juzi zawadi walizopata walipendelewa. Otherwise, nitaconclude kuwa sehemu zingine tofauti na Mwanza ni chafu zaidi
 
Rhetorical statement anyway endelea na mtazamo wako waisrael walikuwa na kama mtazamo huo sasa wanahaha kuzuia Palestina isiwe nchi kamili. Wanaona dunia inawatupa mkono wamebakia na Marekani ambaye nguvu ya ushawishi duniani inaenda ikishuka kila kukicha. Hakuna kitu kitadumu milele isipokuwa mungu vyenginevyo vitaenda vikibadilika. Top University duniani ni hizi hapa ndugu yangu:-

a. Harvard.
b. Cambridge.
c. Yale.
d. Massachusetts (MIT)
e. Oxford.
f. Imperial College London.
g. University of Chicago.
h. California Institute of Technology.
i. Princeton University.

Hayo mambo ya kukariri utajiju!!!! Kama una wivu shauri yako. Usitoke nje ya mada jibuni hoja.
Mbona hivyo vyuo vyote vipo kwenye nchi za kikristo? ina maana nchi za kiislamu swala la elimu ni mgogoro? sasa hapa nimeanza kupata picha kumbe tatizo la elimu kwa waislamu ni Global sio hapa Tanzania tu.
Asante kwa kulijuwa hili, sitosumbuwa tena akili yangu.
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Unawezaje kusema Mwanza ni chafu wakati juzi limekuwa jiji la kwanza kwa usafi Tanzania. Unless juzi zawadi walizopata walipendelewa. Otherwise, nitaconclude kuwa sehemu zingine tofauti na Mwanza ni chafu zaidi
Ata juzi UN wameipa tunzo Tanzania kwa kuongoza kwa huduma za jamii, vipi hizo tunzo unazikubali?
 
daktari shikamoo.asante kwa kuja kuchangia maswali yangu.muuza mitumba analipa kodi iweje kiongozi mkuu wa chama upate posho milioni 7.5 bila kodi.kulipa kodi ni wajibu wa sisi raia wote. uzembe wa TRA si sababu ya kushindwa kulipa kodi. ukishindwa kulipa kodi unakuwa na kosa. tuambie kwanini ni sawa kwa wewe kuwa na pato la milioni 7.5 na kushindwa kulipa kodi.
Million 7.5 ya Slaa inakusumbua kuliko mabilioni ya shilling yanasameheshwa makampuni makubwa?
 
Daughter,
Nimeongea na Mayor wa Jiji la Mwanza. Amekiri kuwa jitihada kubwa inafanyika kusimamia usafi. Lakini Bajet yao ya kwanza ndiyo hii ambayo inapitishwa sasa Bungeni. Tender nazo pia ndizo zinapitishwa sasa. Naomba tufuatilie sote ili tuwe na Mwanza safi na inayovutia.

Kwa kukusaidia VATICAN ni nchi yani special state, ndiyo mana ina ubalozi hapa nchini na inakaribu kote duniana ina ubalozi na ina populatin yake, territory yake,sovereignty,government ili nchi iweze kuwa nchi lazima iwe inasifa hizo,OICC SIO NCHI NI TAASI haina sifa ya kuwa nchi ndiyo mana haina ubalozi,go and read internatinal law.

Nashukuru.
 
Naona kubishana na mjinga ni kupoteza muda. Wacha nikuachieni thread yenu Dr Slaa naomba ujibu hoja zangu tafadhali. Nilikuwapo nitarudi akijibu Dr Slaa.
Dr Slaa anaendelea kuwajibu waliouliza maswali ya msingi na yenye tija kwa Taifa, wewe unaeona dini ndio kitu bora kwako ebu tuendelee na mimi, am here to stay,....
 
Daughter,
Nimeongea na Mayor wa Jiji la Mwanza. Amekiri kuwa jitihada kubwa inafanyika kusimamia usafi. Lakini Bajet yao ya kwanza ndiyo hii ambayo inapitishwa sasa Bungeni. Tender nazo pia ndizo zinapitishwa sasa. Naomba tufuatilie sote ili tuwe na Mwanza safi na inayovutia.

Shikamo Mhe. Slaa....

Pole sana na shughuli za kila siku za ujenzi wa CHADEMA na Taifa....

Binafsi nina maswali matatu...

1. Ni upi hasa mlengo wa CHADEMA kama chama mbadala katika utawala wa Tanzania?,
2. Ukiachana na operesheni Sangara CHADEMA mna mkakati gani wa kujitangaza na kujiweka karibu na wananchi(kila wakati) mfano kufungua
matawi katika ngazi ya vijiji na vitongoji na hata mitaa/mashina?,
3. Nimesikia kuhusiana na mkanganyiko wa muafaka baina ya CCM na CHADEMA Arusha ambapo nilimsikia Mbunge wa Arusha mjini Mhe.Godbless Lema
akitoa taarifa rasmi kuupinga muafaka huo na baadaye nilimuona Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Mhe.Freeman Aikael Mbowe(kupitia TBC)
akisema kwamba hana taarifa na muafaka huo.Swali ni je?,wewe nini kauli ya chama kuhusiana na mkanganyiko huu?,na je chama katika
ngazi ya wilaya na mkoa hakikuwa na taarifa na yale yote yaliyokuwa yakiendelea katika kufanikisha muafaka huo?.....

Nakutakia kazi njema na salamu kwa familia.

Bala.
 
3. Nimesikia kuhusiana na mkanganyiko wa muafaka baina ya CCM na CHADEMA ambapo nilimsikia Mbunge wa Arusha mjini Mhe.Godbless Lema
akitoa taarifa rasmi kuupinga muafaka huo na baadaye nilimuona Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Mhe.Freeman Aikael Mbowe(kupitia TBC)
akisema kwamba hana taarifa na muafaka huo.Swali ni je?,wewe nini kauli ya chama kuhusiana na mkanganyiko huu?,na je chama katika
ngazi ya wilaya na mkoa hakikuwa na taarifa na yale yote yaliyokuwa yakiendelea katika kufanikisha muafaka huo?.....

Nakutakia kazi njema na salamu kwa familia.

Bala.
Haya ndio maswali ya Kigreat Thinker. Big up Bala.
 
Really? You are waiting for Kamati Kuu to sit so as you can come up with the solution to fix Umeme? and you have convinced yourself to be worthy of presidency? Read here Politics, Society & Things: Politics and Power Cuts in Tanzania au get your copy of Sunday Citizen today to get some ideas. Halafu unasema eti siwezi kujibu kwa kirefu kwa sababu huna chaja ya laptop. SMH. Look, we know serikali has been incapable of fixing umeme, now you offer the solutions--sio kwenda kuandamana with no alternative plans.

Mgao umekuwa mkali because the economy and hence the demand have grown, without any proper plans to invest in stima. Obviously during Mwinyi and Nyerere time kulikuwa hakuna mgawo because wenye haja ya umeme mlilkuwa wachache. In a way hata wewe ungekuwa President leo, you were gonna face the mgao, not as your fault but the result of hao waliokutangulia. Now, we need to go past that BS and move forward.

Anyways, and Freeman Mbowe. He is cunning. And most of us are afraid of your party because of him. Amekaa kibiashara zaidi. The only successful thing I can associate with him is Billz. And thats because tunapata dada poa wa bei nzuri.

Goodluck with your endeavours.

Just be civilised enough to use kind and diplomatic tone.I am not a Mbowe supporter, neither his opponent, or his spokeperson, but you kept mixing up issues about him just because you don't like him as a person, and using my person to start another argument over your personal obsession will be wrong.

your Response and comment about Dr.Slaa, you demonstrate clearly your lack of knowledge about the man.Ameshakuambia suala la Umeme limemletea tatizo na hawezi kuchaji battery yake.Suala la kamati kuu linakutatiza vipi?Unless unataka kuleta ligi tu,hiki ni chama chenye taratibu sasa wewe unataka atoe msimamo tu?

Honestly your response is even more embarassing to the CCM and govt . "the govt has spotted this and dealing with it". What this means is that Kikwete spotted a terrible Electric crisis and now trying to change it??
 
Daughter,
Nimeongea na Mayor wa Jiji la Mwanza. Amekiri kuwa jitihada kubwa inafanyika kusimamia usafi. Lakini Bajet yao ya kwanza ndiyo hii ambayo inapitishwa sasa Bungeni. Tender nazo pia ndizo zinapitishwa sasa. Naomba tufuatilie sote ili tuwe na Mwanza safi na inayovutia.

hapa dr ndio ninapozidi kukukubali, nafurahi sana kuona unaonesha mambo kivitendo na huwezi kuvumilia tetesi
 
Nina maswali magumu ya kumuuliza.

tafadhali baba rudi jf tujadili ile posho kubwa ya milioni 7.5

ninayo maswali mengine kuhusu mchumba wako wa kudumu kuwatumia waheshimiwa sms za mipasho.

maswali mengine yanahusu demokrasia finyu ndani ya chama chako. eti diwani wa arusha hawezi kuamua kitu mpaka lichama kule nyumbani kwa mtei liseme yeah!

Shule gani ya kata ina maji ya bomba? Zahanati gani ya kata wanavyoo vinavyoflush kama vya ikulu?, kina mama wangapi wanapoteza maisha yao kwa sababu ya huduma za uzazi vijijini hakuna?, tazama wanakijiji wangapi mvua isiponyesha hawana njia ya kupata kulima mazao yao? Chunguza hayo machache yanayohusu uma wa Watanzania kabla hujaja na hoja hiyo ya mtu mmoja kulipwa 7.5 million tena shilingi za Kitamzamia, thamani inashuka kila kukicha. Hapo bado enrgy policy mbovu liko giza tu. Madini yapo yanaweza leta mwanga lakini.....zero in the brain, watu wanatembea km na km kupeleka mama mzazi kujifungua akiwa kwenye tela la ng'ombe
 
Mkuu,Waachie Thread yao wachangie wenyewe, Waislam hawana umuhimu wowote, Pro-CDM-JF, Wanazidi kumuweka mbali Dr Slaa, na jamii ya Kiislam

Udini kitu kibaya sana........

Nawachukia sana wanaoendekeza udini wa aina yako hii Ritz......

Sidhani kama CCM tunaendekeza udini kiasi hiki..........Kwani ni wapi CHADEMA wamejipambanua kwamba wao ni wakatoliki/wakristo?,mbona kuna viongozi wa kitaifa na wabunge ambao ni waislamu.....

Hebu tuacheni basi kupotosha kiasi hiki.......Tupambane kisiasa kwa misingi ya SERA badala ya misingi/msingi wa UDINI.....

Tafakari............................Chukua hatua.

Bala.
 
Really? You are waiting for Kamati Kuu to sit so as you can come up with the solution to fix Umeme? and you have convinced yourself to be worthy of presidency? Read here Politics, Society & Things: Politics and Power Cuts in Tanzania au get your copy of Sunday Citizen today to get some ideas. Halafu unasema eti siwezi kujibu kwa kirefu kwa sababu huna chaja ya laptop. SMH. Look, we know serikali has been incapable of fixing umeme, now you offer the solutions--sio kwenda kuandamana with no alternative plans.

Mgao umekuwa mkali because the economy and hence the demand have grown, without any proper plans to invest in stima. Obviously during Mwinyi and Nyerere time kulikuwa hakuna mgawo because wenye haja ya umeme mlilkuwa wachache. In a way hata wewe ungekuwa President leo, you were gonna face the mgao, not as your fault but the result of hao waliokutangulia. Now, we need to go past that BS and move forward.

Anyways, and Freeman Mbowe. He is cunning. And most of us are afraid of your party because of him. Amekaa kibiashara zaidi. The only successful thing I can associate with him is Billz. And thats because tunapata dada poa wa bei nzuri.

Goodluck with your endeavours.
Aaah, ina maana Kikwete alipokuwa anagombea urais hakujua kama kuna tatizo hili? Aliahidije kumaliza kero za wananchi ili hali hajui matatizo halisi ya watanzania? By the way, kama aliingia madarakani kilimbukeni na amekutana na matatizo magumu yaliyomzidi uwezo kwanini asiachie ngazi ili wengine wenye ubunifu wa kutosha wa namna ya kumaliza tatizo wamsaidia kulimaliza?
Labda ninachanganya mambo hapa, hivi wakati ule wa mkapa huyu bwana si aliwahi kuwa waziri wa nishati na madini? Je tutakosea, iwapo tutasema yeye ndiye chanzo cha tatizo?
 
Dr slaa nimewahi kukuandikia PM ya wazo fulani.
Je uliipata? na je Haifai na haiwezi kusaidia katika ukuleta mabadiliko na kuonyesha CDM ni chama cha namna gani?
 
Udini kitu kibaya sana........

Nawachukia sana wanaoendekeza udini wa aina yako hii Ritz......

Sidhani kama CCM tunaendekeza udini kiasi hiki..........Kwani ni wapi CHADEMA wamejipambanua kwamba wao ni wakatoliki/wakristo?,mbona kuna viongozi wa kitaifa na wabunge ambao ni waislamu.....

Hebu tuacheni basi kupotosha kiasi hiki.......Tupambane kisiasa kwa misingi ya SERA badala ya misingi/msingi wa UDINI.....

Tafakari............................Chukua hatua.

Bala.
Nakuunga mkono ndugu yangu. Ushabiki wa dini na kuhamasisha vita au vitisho vya vita vya kidini havituletei tija watanzania. Wala sio busara kulinganisha matatizo ya udini ya Nigeria na Tanzania. Kwa wanaojua historia ya Nigeria watakubaliana kwamba udini nimatokeo ya sera za watawala wa Kiingereza ya "Divide and rule" ambazo baada ya uhuru zilikolezwa na watu walio nufaika nazo. Leo watanzania tunge jielekeza kwenye matatizo sugu ya nchi nasio kukumbatia misimamo ya kidini ambayo haina manufaa hata kwa hao wanao "advocate" mambo hayo. Why are we proud of begging in the name of religion?
 
Shikamo Mhe. Slaa....

Pole sana na shughuli za kila siku za ujenzi wa CHADEMA na Taifa....

Binafsi nina maswali matatu...

1. Ni upi hasa mlengo wa CHADEMA kama chama mbadala katika utawala wa Tanzania?,
2. Ukiachana na operesheni Sangara CHADEMA mna mkakati gani wa kujitangaza na kujiweka karibu na wananchi(kila wakati) mfano kufungua
matawi katika ngazi ya vijiji na vitongoji na hata mitaa/mashina?,
3. Nimesikia kuhusiana na mkanganyiko wa muafaka baina ya CCM na CHADEMA Arusha ambapo nilimsikia Mbunge wa Arusha mjini Mhe.Godbless Lema
akitoa taarifa rasmi kuupinga muafaka huo na baadaye nilimuona Mwenyekiti wa CHADEMA taifa Mhe.Freeman Aikael Mbowe(kupitia TBC)
akisema kwamba hana taarifa na muafaka huo.Swali ni je?,wewe nini kauli ya chama kuhusiana na mkanganyiko huu?,na je chama katika
ngazi ya wilaya na mkoa hakikuwa na taarifa na yale yote yaliyokuwa yakiendelea katika kufanikisha muafaka huo?.....

Nakutakia kazi njema na salamu kwa familia.

Bala.
Balantanda

Kuna baadhi ya masawali yako naweza kuyajibu,
Suala la msimamo wa Slaa kuhusu mwafaka wa Arusha nafikiri hili liko wazi ni kuwa yeye kama Slaa(chama) kimeshaunda tume kwa hiyo hadi sasa sidhani kama anaweza kuwa na jibu sahihi lolote vinginevyo ile tume itakuwa haina maana.

Kuhusu mikakati ya kujiweka karibu na wananchi ukiachilia mbali operation sangara nafikiri hata hili alishalitolea ufafanuzi kuwa kila wanapofanya mikutano iwe maandamano kongamano nk sambamba na hayo wanafungua matawi ya chama, kuna mpango wa kuwashirikisha wanavyuo na kufungua matawi vyuoni, leo katuambia yuko Kisarawe kwa shughuli hiyo hiyo. Vile vile nishawahi kusikia kuwa CDM hawaigi mbinu ya CCM ya kufungua matawi kila sehemu wao wanafungua sehemu zenye tija tu ili kupunguza gharama mfano vyuoni.

Kuhusu swali lako la kwanza hilo ni pana ndugu yangu mwenyewe Slaa atalijibu maana ni idiology ya chama ni vision and mission huwezi kusema lengo la chama ni kushika dola basi hapana lazima uende zaidi ya hapo then......
 
Dr Slaa kwanza nikupe hongera kwa majukumu ya kuwaelimisha umma hasa watu wa kisarawe najua juhudi zako hazitaenda bure na zitazaa matunda, Suala la katiba limekuwa kikwazo kikubwa cha kuweza kuibadili Tz na kimechangia kuwapata viongozi wasio na uchungu na nchi hii( wapenda kubembea) naomba nipe mikakati ya chadema kuhusu kuelimisha Umma kuhusu umuhimu wa kubadilisha katiba hasa kipengele cha kwamba mgombea uraisi anapotangazwa basi hawezwi kupingwa tena hata mahakamani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom