Mazoezi ya pc kwa wanawake

The secretary

JF-Expert Member
Jan 14, 2012
4,149
2,536
Pc ni msuli unaotawala uke na kibofu cha mkojo.kama mke ana msuli imara wa pc uke wake unaweza kuubana sawasawa uume wa mumewe na kama ni dhaifu uke wake unakuwa ni mkubwa mno hivyo kushindwa kupata msisimko wakati wa tendo la ndoa . jinsi ya kufanya mazoezi ya kuimarisha msuli wa pc 1: tambua tofauti ya msuli wa paja na msuli wa pc.msuli wa pc ndo unaobana mkojo usitoke na mazoezi haya hufanywa wakati wa kukojoa ambapo magoti yatakuwa yametanuka ndipo utazuia mkojo kwa sekunde kazaa endelea kuzia na kuachia hadi kibofu kiishe mkojo.kila unapofunga mkojo unabana msuli wa pc.lakini magoti yakiwa yamebanwa unabana msuli wa paja.
 
Ni darasa zuri na pana kama unahitaji watu waelewe mazoezi ya uke, uume, ungeiazisha huko kwa jukwaa la wakubwa ingependeza zaidi hapa sebuleni kuna watoto wa shule wasiopenda darasa.
 
kadri unavyobana msuli wa pc ndivyo unavyobana uke hivyo kuongeza msisimko wakati wa tendo la ndoa na kuweka uzazi wa mtoto salama.zoezi hufanywa mara 40 kwa siku waweza fanya hata ukiwa unasubiri gari au ukiwa unasubiri gari au ukiwa na kazi nyingine.ndani ya mwezi mmoja utashuhudia badiliko hili kwani hata mume na we pia mtafurahia tendo la ndoa napendekeza wanawake wote kufanya zoezi hili waume kuweni walimu kwa wake zenu kuhusu jambo hili ili kutoa kasumba ya wanawake kuweka bikra ya kichina au kupenda kujifungua kwa kisu kwa kuhofia kupanuka uke.jibu ni hili kwa wanawake wote tuhamasike kufanya zoezi hili.kwa msaada zaidi tukutane hapa hapa
 
Ni darasa zuri na pana kama unahitaji watu waelewe mazoezi ya uke, uume, ungeiazisha huko kwa jukwaa la wakubwa ingependeza zaidi hapa sebuleni kuna watoto wa shule wasiopenda darasa.
huko jukwaa la wakubwa mi mwenyewe sijapata hata hiyo access ya kufika huko halafu si kwamba nilichoandika kina hamasisha tabia chafu hili ni somo ambalo hata hao ambao hawajaifikia stage watakuwa walimu wazuri katika jamii za kupunguza hizi adha za dawa za kichina ni somo ambalo liko wazi na jukwaa hili na hakika wengi wana access nalo kuliko la wakubwa
 
Duuu!

Kweli ukistaa ajabu ya musa utashangaa ya filauni! ngoja nikamfundishe mamsapu wangu
 
kweli mkuu halafu ubanwe na mwanamke anayejua kubana mmmh inaleta msisimuko saana!
 
Haya ni mazoezi zaidi kwa mwanaume wenye matatizo ya pr-ejaculation(kukojoa mapema) inasaidia sana.

Kwa wanawake inawezekana inasaidia kutengeneza hiyo kitu ila sijuhi kama inaweza kubadilisha kukubwa kwa kiasi hicho
 
Pc ni msuli unaotawala uke na kibofu cha mkojo.kama mke ana msuli imara wa pc uke wake unaweza kuubana sawasawa uume wa mumewe na kama ni dhaifu uke wake unakuwa ni mkubwa mno hivyo kushindwa kupata msisimko wakati wa tendo la ndoa . jinsi ya kufanya mazoezi ya kuimarisha msuli wa pc 1: tambua tofauti ya msuli wa paja na msuli wa pc.msuli wa pc ndo unaobana mkojo usitoke na mazoezi haya hufanywa wakati wa kukojoa ambapo magoti yatakuwa yametanuka ndipo utazuia mkojo kwa sekunde kazaa endelea kuzia na kuachia hadi kibofu kiishe mkojo.kila unapofunga mkojo unabana msuli wa pc.lakini magoti yakiwa yamebanwa unabana msuli wa paja.

Inashauriwa kwa afya yako usifanye hili zoezi wakati unajisaidia haja ndogo. Ni hatari sana kwa afya yako. Fanya wakati mwingine lakini sio wakati unajisaidia haja ndogo.
 
Back
Top Bottom