Maziwa ya pakti

Tmlekwa

JF-Expert Member
Apr 27, 2012
257
236
Jamani nisaidieni,

Hivi haya maziwa ya tanga fresh au desa mtindi na fresh ni maziwa halis au? kuna mtu aliniambia ni unga wa muhogo wanachanganya na maziwa ya unga.

Msaada plz!
 
Ni maziwa halisi. Na ukitaka mtindi bora zaidi ni: Tanga Fresh na Serengeti. Na kama unataka mtindi usiokuwa na too much fat (less fat) basi tumia serengeti.
 
wanachanganya na mahindi mabichi mm nshaacha kunywa maana watatunyesha hata ya ngamia au ile katoliki
 
Tanga Fresh ya mgando si halisi siku hizi. Kuna watu wanapaki kienyeji mitaani, hasa SINZA. Kuweni waangalifu. Ukitaka kuthibitisha jaribu kununua pakiti kutoka maduka tofauti utaona tofauti kwenye texture, ladha, rangi ya pakiti na mihuri ya expiry date.
MJINI HAPA!
 
Inaweza kuwa kweli. Nishasikia toka kwa kijana niliyrssfiri naye kati ya moro na dar. Tulipoposhana ns gari lao ndipo akaanzisha mada ya maziwa. Yeye alisema yanachang'anywa na viazi.
 
Inaweza kuwa kweli. Nishasikia toka kwa kijana niliyrssfiri naye kati ya moro na dar. Tulipoposhana ns gari lao ndipo akaanzisha mada ya maziwa. Yeye alisema yanachang'anywa na viazi.
sa jaman c bora kula viaz vyenyewe au hayo mahind au mihogo! ki ukwel ipo cku kutakua hakuna hata kitu kimoja ambacho ni halis na ni hapo sasa oceanroad hospt itakua haitosh.
 
FUNGO jr, habari hiyo siyo kweli, maziwa ya tanga fresh hayachanganywi na chochote ni maziwa halisi kutoka kwa mama ngombe hayaongezwi chochote iwe kemikali, huchemshwa kuuwa wadudu wenye athari kwa afya yetu, halafu hupatikiwa kwenye pakiti.
 
Hawa jamaa wa Tanga Fresh wako makini tena wako very open na mfumo wao wa kupokea na kusindika maziwa tumetembelea pale mara kadhaa na wanakaribisha watu kiwandani kuona na kutembelea mfumo mzima wa usindikaji.
ngoja nijipange niende tanga kiwandan kwao then takachokiona takiweka hapa!
 
Back
Top Bottom