mayenga JF-Expert Member Sep 6, 2009 4,118 1,966 Jun 28, 2012 #1 Wadau, Ninahitaji sana maziwa ya mbuzi au ngamia,naomba mwenye kufahamu yanapouzwa anijulishe tafadhali.Niko Dar es Salaam.Ahsante!
Wadau, Ninahitaji sana maziwa ya mbuzi au ngamia,naomba mwenye kufahamu yanapouzwa anijulishe tafadhali.Niko Dar es Salaam.Ahsante!