Offline User
JF-Expert Member
- Dec 20, 2010
- 3,828
- 2,383
kunyonya matiti kunapunguza uwezekano wa mwanamke kupata kansa. Endelea tu mkuu!
wanamme, nawaalika mnyonye matiti ya wake/wanawake zenu.
Inapunguza uwezekano wa kansa ya matiti.
Ndio,ni mazuri sana,wanaume wengi hupenda sana kuya chezea
na hata kunyonya, of course,nami nimo pia.
Lakini,moja kati ya matatizo yanayo wapata wanawake wengi ni kansa ya maziwa.
je,tuna usalama gani sisi tunao kimbilia kunyonya?
Ni lini utajua ni salama,na lini sio salama kunyonya?
Utakuaje ukinyonya kwa mtu alie na breast cancer ?
Tuna pigana vipi na janga hili katika jamii yetu?
King'asti usidanganywe na JF IDs na umri wa membership.
Am very young aisee,ndo najifunza saivi kuingia kwenye
mambo ya kikubwa.
Hehehe, hapa kuna mtu anaibiwa. Anyways hata mie niko 17. Usinyonye anything maana vyote vinavyonyonyeka vinaweza kukuletea kansa ya koo. Namaanisha VYOTE