Speaker
JF-Expert Member
- Aug 12, 2010
- 6,324
- 2,238
Ndio,ni mazuri sana,wanaume wengi hupenda sana kuya chezea
na hata kunyonya, of course,nami nimo pia.
Lakini,moja kati ya matatizo yanayo wapata wanawake wengi ni kansa ya maziwa.
je,tuna usalama gani sisi tunao kimbilia kunyonya?
Ni lini utajua ni salama,na lini sio salama kunyonya?
Utakuaje ukinyonya kwa mtu alie na breast cancer ?
Tuna pigana vipi na janga hili katika jamii yetu?