Mazishi ya Shoga Ryan Dunn

kilimasera

JF-Expert Member
Dec 2, 2009
3,068
268
Kanisa la Westboro Baptist Church la Kansas City, Marekani limeandaa maandamano kupinga mazishi ya msanii maarufu nyota wa kundi la Jackass, Ryan Dunn ambaye alifariki wiki hii kwa ajali ya gari, kanisa hilo linasema kuwa Ryan Dunn alikuwa ni mtenda dhambi na baada ya kufariki hivi sasa yuko motonKanisa la Westboro Baptist Church lenye makazi yake Kansas City nchini Marekani linajulikana sana kwa maandamano yake ya wazi ya kupinga mashoga duniani.

Kanisa hilo lilitoa taarifa kwa vyombo vya habari likisema kuwa Ryan Dunn yuko motoni.

Ryan Dunn alikuwa msanii maarufu wa kundi la Jackass la Marekani ambalo limekuwa likifanya shoo za michezo ya hatari na vituko mbali mbali ambapo shoo zao huonyeshwa na televisheni maarufu duniani ya MTV.

Kanisa hilo lilisema kuwa kifo cha Dunn kwa ajali ya gari ni matokeo ya vitendo vyake viovu ambapo mara nyingi huonekana akifanya vitendo vya kipuuzi na wakati mwingine akifanya vitendo vinavyohusisha ngono.

"Kwa rehema za Mungu, maisha yake duniani yamekatishwa kwasababu alikuwa akifanya maovu na akiwafundisha watu kufanya maovu mbele ya mungu", ilisema taarifa ya kanisa hilo.

Dunn alifariki dunia akiwa na umri wa miaka 34 baada ya kupata ajali wakati akiliendesha gari lake aina ya Porsche kwa spidi ya kilomita 225 kwa saa.

Wakati huo huo, Dunn alikuwa amelewa na damu yake ilipopimwa ilionyesha kuwa na kiwango cha alcohol mara dufu ya kiwango kinachokubalika kisheria.

Familia ya Dunn iko kwenye maandalizi ya kufanya mazishi makubwa kwaajili ya Dunn na polisi wameishapewa taarifa kuhusiana na maandamano ya kanisa la Westboro Baptist Church.i.
 
Ushoga ni kitendo cha utovu wa nidhamu. Hivi kweli Mungu alikosea kukuumba mpaka ufikie hatua ya kubadili jinsia yako.

Jamani wanaume shikeni viuno vyenu na wama tushike matumbo yetu tuombe Mungu kwa mapenzi yake atupe familia bora. Na nyie wanaume mnaofanya hayo mambo ya kufanya mapenzi na wanaume wenzenu jamani muogopeni Mungu sana, acheni Mungu aitwe Mungu siyo kumkosoa Mungu jamani.

Glory to be GOD.
 
Mpeni taarifa huyo askofu wa kanisa la Anglican jimbo la Dodoma ambaye anachefua si tu wafuasi wa Anglican bali wakristu wote wa Tanzania
 
kweli kabisa ila wengine ni mashetani yaliyojibadilisha na kuwa kama binadamu ili wawatoe watu kwenye kweli ya Mungu.Piga moyo konde endeleea kuwaweka kwenye maombi walioingiliwa na mashetani haya.
 
Ushoga ni kitendo cha utovu wa nidhamu. Hivi kweli Mungu alikosea kukuumba mpaka ufikie hatua ya kubadili jinsia yako.

Jamani wanaume shikeni viuno vyenu na wama tushike matumbo yetu tuombe Mungu kwa mapenzi yake atupe familia bora. Na nyie wanaume mnaofanya hayo mambo ya kufanya mapenzi na wanaume wenzenu jamani muogopeni Mungu sana, acheni Mungu aitwe Mungu siyo kumkosoa Mungu jamani.

Glory to be GOD.
......ushoga ni moja ya Tabia mbaya za makafiri, kama vile kula kiti moto, pombe na kutembea uchi, kula riba, kamari ! (kwa uchache tu)
 
Back
Top Bottom