Mazishi ya Nyaga Mawala kufanyika Nairobi

nadhani Nyaga ni jamii forum member
kwa wanaouja ID yake wangetuambia pia.
apunzike anapostahili.
 
Sijatoka mavumbini mimi, that's what i know..ila najua ntazikwa mavumbini

sina hakika kama huelewi au "kibri" chako tu.ngoja nijaribu kukuelewesha,tunaamini sisi wakristo kuwa binadamu wa kwanza adam aliumbwa kwa udongo kisha Mungu akaupulizia pumzi ya uhai,hivyo asili yetu ni udongo/mavumbi na tutakapozikwa ktk udongo/mavumbi tutakuwa tumerudi ktk udongo

note that:this is for believers only.msio amini kaeni kimya kwa vile hamuamini ktk hili.
 
Naelewa kaka ilikuwa najaribu kufupisha siku tu mzeee.... :)
 
Hivi jamani hakuna aliyehidhuria hayo mazishi atupe updates?

naamini Mr Rocky atakuwa amehudhuria,bila shaka atakuja kutupa updates,pia Albert Msando atakuwa amehudhuria ingawaje mahudhurio yake hapa jf siku hizi sidhani kama ni bora kama nyakati zilizopita.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom