Mazishi ya mwandishi James Mwakisyala leo Pugu!

Apr 27, 2006
26,588
10,375
- leo ni siku ya mazishi ya muandishi maarufu wa muda mrefu sana nchini, bwana james mwakisyala aliyefariki juzi usiku hospitali ya muhimbili; mazishi yanafanyika leo saaa nane mchana, nyumbani kwake pugu, kajiungeni.

- binafsi nipo njiani kwenda kuhudhuria mazishi haya na nimesitisha mualiko wa makanisa leo ubungo kuhuduhuria mazishi haya ya mwanahabari niliyekuwa ninamfahamu kwa muda mrefu sana toka nikiwa mdogo, wana jf huko pugu na kisarawe karibuni sana tumsindikize mwanamapinduzi mwenzetu!!

- james alikuwa mwanamapinguzi halisi ukitizama maandishi yake utakubaliana na mimi, mungu amlaze mahali pema peponi!!

William.
 
Pole kwa ndugu, jamaa na marafiki wa familia ya marehemu James Mwakisyala, though sijapata kusoma maandiko yake.
 
- leo ni siku ya mazishi ya muandishi maarufu wa muda mrefu sana nchini, bwana james mwakisyala aliyefariki juzi usiku hospitali ya muhimbili; mazishi yanafanyika leo saaa nane mchana, nyumbani kwake pugu, kajiungeni.

- binafsi nipo njiani kwenda kuhudhuria mazishi haya na nimesitisha mualiko wa makanisa leo ubungo kuhuduhuria mazishi haya ya mwanahabari niliyekuwa ninamfahamu kwa muda mrefu sana toka nikiwa mdogo, wana jf huko pugu na kisarawe karibuni sana tumsindikize mwanamapinduzi mwenzetu!!

- james alikuwa mwanamapinguzi halisi ukitizama maandishi yake utakubaliana na mimi, mungu amlaze mahali pema peponi!!

William.

R I P James,hao wanamkaribisha William kanisan hawako serious mtu hopeless anayepiga picha ovyo na wadada.
 
RIP James Mwakisyala,
Daima nitakukumbuka, wewe pamoja na Bernard Bamwine (RIP) mlivyonisaidia nilipofukuzwa Chuo Kikuu mwaka 1992; kupitia Mfuko wa Emaus, Ubalozi wa Norway.

Wakati huo ulikuwa Mwenyekiti na Bamwine alikuwa Katibu wa Amnesty International (Tanzania). Aidha ulikuwa ukifanya kazi Benki Kuu ya Tanzania.

Ni majonzi mazito; Mwenyezi Mungu awape nguvu na uvumilivufamilia ya James Mwakisyala katika kipindi hiki kigumu cha kuondokewa nakiongozi wao. Tunamwomba Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. Amina.
 
James Mwakisyala ni high profile name kwenye tasnia ya habari. Sijui ni kwanini msiba wake umekuwa low profile!.

Thanks Bill for info, tupatie na update ya maziko.

RIP James Mwakisyala!.
 
r i p james,hao wanamkaribisha william kanisan hawako serious mtu hopeless anayepiga picha ovyo na wadada.

- mwenyekiti wa ipp alikuaj kwenye mazishi, na kusema wazi kwa wananchi kwamba kama sio mimi kuweka hii habari hapa jamiiforums asingejua kwamba rafiki yake mpenzi james amefariki, mzee mengi ameahidi familia ya marehemu kumsomeasha mtoto wa mwisho wa marehemu, ambaye ndio kwanza amemaliza darasa la saba, that was great na i am humbled sana!! Na again mungu amuweke marehemu james mahali pema peponi!!

- ni muhimu sana kutumia vyombo kama hivi kusaidia wananchi, badala ya kukalia majungu majungu asubuhi mpaka jioni majungu tu!1 ha! Ha! Ok people back in town now! Nipo bills hapa relaxing!!

Willie!!
 
James Mwakisyala ni high profile name kwenye tasnia ya habari. Sijui ni kwanini msiba wake umekuwa low profile!.

Thanks Bill for info, tupatie na update ya maziko.

RIP James Mwakisyala!.

- Pasco, NIMEMUULIZA SANA MWENYEKITI MENGI KWAMBA KWA NINI HUU MSIBA UMEKWUA LOW PROFILE? AMENIAHIDI KUFUATILIA NA ATANIPA MAJIBU, NA PIA MKUU KASESELA ALIKUWEPO NA YEYE NI MIMI NILIYEMPIGIA KUMUARIFU, I AM VERY DIS-APPOINTED CAUSE HUYU JAMES AMEKUWA MUANDISHI WA TAIFA KWA MUDA MREFU SANA, WHY HAKUPEWA NATIONAL COVERAGE? NI A MILLION QUESTION JE KUNA MAHALI ALIANDIKA SOMETHING AMBACHO HAIKUWAFURAHISHA WATU FLANI AU WHAT?

WILLY!!
 
- leo ni siku ya mazishi ya muandishi maarufu wa muda mrefu sana nchini, bwana james mwakisyala aliyefariki juzi usiku hospitali ya muhimbili; mazishi yanafanyika leo saaa nane mchana, nyumbani kwake pugu, kajiungeni.

- binafsi nipo njiani kwenda kuhudhuria mazishi haya na nimesitisha mualiko wa makanisa leo ubungo kuhuduhuria mazishi haya ya mwanahabari niliyekuwa ninamfahamu kwa muda mrefu sana toka nikiwa mdogo, wana jf huko pugu na kisarawe karibuni sana tumsindikize mwanamapinduzi mwenzetu!!

- james alikuwa mwanamapinguzi halisi ukitizama maandishi yake utakubaliana na mimi, mungu amlaze mahali pema peponi!!

William.
Asante sana Willie kwa kutuwakilisha msibani kwa kaka yetu James.
Imekuwa bahati mbaya sijaweza kuhudhuria mazishi haya kwa vile niko safari Arusha kwa arobaini ya msiba mwingine.
James tunatoka kijIji kimoja na ni mtu wa intergrity, he said what he meant.
Tutamkumbuka kwa ukweli na uwazi wake, hakumung' unya maneno ili kuwafurahisha wakubwa.
Kama ilivyo watu wa huko Rungwe, ukweli ni benchmark.

Tabia ya ukweli na uwazi ili mletea matatizo alipokuwa muajiriwa wa BOT, na akatimuliwa na wakubwa waliokuwa wanapindisha mambo.

Tutakukumbuka James ambaye hakuwa na makuu wa majivuno kwa watu wote wakubwa hata sisi wadogo zake.

Tabia yake ni nadara kuiona katika waandishi wa kizazi cha leo.
RIP James Mwakisyala
 
Mwenyenzi mungu nakuomba sana umpokee huyu mtumishi wako uliyemwita kwako kutoka dunia hii.upende kwa wema wako kuzibariki kazi njema ulizomjaalia kuzifanya alipokuwa hai nasi utuwezeshe kuiga mfano wa mema yake na kujitenga na uovu daima.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom