Mazishi ya marehemu Yohana Mpinga aliyekufa Ndago - Singida yafanyika

Mie sihitaji hata kujichosha kufikiria hilo suala.Hiyo taarifa ya kifo iliripotiwa saa ngapi?maana baada ya hizo fujo mkutano uliendelea kwa amani.Kama polisi walifika baadae ina maana wangekuwa wameishalifahamu hilo na ninavyojua huo mkutano ungevunjika tu.
Lakini pia kuna jambo nalifikiria,mikutano yote ambayo imeleta maafa ya CDM,chanzo ni CCM.Mbona mikutano ya CCM haitokei vijana wa CDM kwenda kufanya fujo?
Na ikumbukwe inajribu kutengenezwa kuwa vijana hao walikasirika baada ya CDM kuanza kuwaponda kina CHEMBA.Aliyeanzisha vurugu ni CCM.Lakini pia najiuliza hilo eneo lilipata wapi mawe ya haraka kiasi hicho na watu kuanza kushambuliana mapema hivyo?Nahitaji huo mkanda wa video ili niweze kuongea mengine.
Tatizo Polisi tulio nao no kama tawi la makada wa CCM na ni vigumu kabisa kuamini kwamba wana akili ya kufikiri hata kidogo. Ni aibu iliyoje kwa asasi neti kamahiyo kufisadiwa na chama cha kishetani kama CCM na kutekeleza kilawanaloambiwa kama kwamba ni robot vile! Shame on Saidi Mwema who has written history as the most hopeless and hapless IGP in our history.
 
R.I.P. Yohana. CCM acheni uhuni, huyo mtu alikufa kwenye klabu ya pombe, na ni masaa mengi baada ya mkutano. Walimchinja mwenyekiti wetu wa USA hakuna hata mwanaccm aliyejitokeza kuhudhuria.
 
CDM haijatuma mwakilishi kama CCM wanavyofanya kwenye misiba ya CDM, kwa mfano wa Regia Mtema, Wangwe na Bob Makani.

Source: Mimi mwenyewe.

Baba wa marehemu ni mwanachama na kiongozi wa CHADEMA.

Source: Hotuba ya Kambi ya Upinzani ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya tarehe 17 Julai 2012
 
msiba huu uwe fundisho kwa wakerekwetwa wanaojipendekeza au kutumiwa kwa maslahi ya wachache kwenda kwenye mikutano isiyo wahusu na kuleta fujo sisizokuwa na msingi matokeo yake ndio kifo(mwigulu atabeba damu hii ya huyo kijana yaani viroba na pesa vinamtoa mtu duniani mwingulu acha hizi),pole zangu nyingi kwa familia tu.
 
Back
Top Bottom